sasa waambie wamuweke bench mpachikaji mabao wao bora ......alafu uone kama wana uwezo si tu wakushinda bao sita, bali wa kushinda mechi..Kweli jamaa kachambua vizuri ...ukiachilia mbali ushabiki Simba wajipange vizuri performance yao sio nzuri ya kupata goli moja hawana team work kila MTU anacheza kivyake!Yanga uwezekano wa kufunga magoli mengi upo fikiria juzi Tambwe na Chirwa hawakucheza hii pekee sycologically timu zimeanza kuingia woga!
Tathimini yako nzuri ila unasahau kua kila timu iliyocheza na simba tayari ilishajeruhiwa ivyo inakua na nafasi ya kujirekebisha ndo mana ata simba ushindi wake umekua wa tabu.juzi yanga alipata goli sita kwa jamhuri ila leo hawezi kuzipata kwa zimamoto ambao juzi walipoteza mbele ya azam.Mpira hauchezwi kwa hisia kaka
Mkuu!Kama mnaacheza hapa JF basi mtakua mabingwa.
Mkuu! naamini kabisa kuwa kifurushi chenu cha mwezi kitakapo fika ukomo, utatoa laini, utavunja simu na kuuza chaja ya simu.endeleen kufunga na kusali mbadilishiwe kile kifurush chenu cha siku ambacho kimegoma kuungwa mpaka leo
Kaka michuano ya mapinduzi haina marudio kama ligi vpl kama huamini kua timu ikashapigwa inajihami kupigwa tena nitafute baada ya gemu ya yanga na zimamoto leonaheshimu mtazamo wako, ila kusema kuwa timu ikishajeruhiwa na timu nyingine ndio sababu ya kushindwa kuwamwagia mvua ya mabao, hapo nakataa kabisa.
Mbona kwenye ligi yanga anapiga mtu nyinginyingi...au na hao wanaopigwa nyinginyingi hawajacheza hata mechi moja?
naamini leo zimamoo wanapigwa nyingi tena ila zinaweza zisifike zile 6 kwakuwa watachukua tahadhari ya ziada kuepukakuaibishwa.
kwa ubora wa klabu kama ya Yanga kwenye mashindano hayo....si dhani kama itampiga mtu bao ka'mojaau tu'wili ....na ikaridhika.
labda kuwena mpango maalum wa mwalimu.
Kuna utabiri uliojivika ngozi ya kinyonga, huo ndio hubadilika mara kwa mara . Kama ule mliokuwa mkijitabiria kila baada na mwanzoni mwa misimuiliyopita kuwa mtakuwa mabingwa wa ligikuu.Huo ni utabiri tu,so mda wowote unaweza ukabadilika kuwa uongo.Ule msemo mpira dak 90 hawaja kurupuka.
Usisahau kua kila baada ya siku moja timu inakua uwanjani so kwa kocha mwenye akili nguvu nyingi aitakiwi muhimu ushindi ili kwenda hatua inayofuata.Nguvu itatumika pale inapobidi.Kaka michuano ya mapinduzi haina marudio kama ligi vpl kama huamini kua timu ikashapigwa inajihami kupigwa tena nitafute baada ya gemu ya yanga na zimamoto leo
Nalo neno....haha haaaa Mikia FC.Bila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.
1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine
Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.
1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A
Yanga SC vs URA
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B
Azam FC vs Matopeni FC
(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)
FAINALI:-
AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.
Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.
YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.
Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .
wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....
Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.
Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.
NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
Labda ufanye makusudi kujifungisha mechi moja ili umalize nafasi ya pili...YANGA NA SIMBA NUSU FAINALI.... Mark my Words
Mkuu! ndio kusema wao Yanga nsdio wanatumia sana nguvu( na sio akili) ndio maana wanashinda mabao mengi.....?Usisahau kua kila baada ya siku moja timu inakua uwanjani so kwa kocha mwenye akili nguvu nyingi aitakiwi muhimu ushindi ili kwenda hatua inayofuata.Nguvu itatumika pale inapobidi.
Sina maana hiyo ila kinachoonekana kwa yanga ni kwamba wanataka sifa nyiingi mno kwenye hatua ambazo timing ndo inatakiwa zaidi kuliko kukaza misuli kupambana kwa nguvu zote na wala pweza wakati mbeleni kuna hatua ngumu zaidi.Na ndo mana yanga michuano hii kaingia fainali mara nyingi ila kombe kabeba mara moja tofauti na mpinzani wakeMkuu! ndio kusema wao Yanga nsdio wanatumia sana nguvu( na sio akili) ndio maana wanashinda mabao mengi.....?