Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

Kweli jamaa kachambua vizuri ...ukiachilia mbali ushabiki Simba wajipange vizuri performance yao sio nzuri ya kupata goli moja hawana team work kila MTU anacheza kivyake!Yanga uwezekano wa kufunga magoli mengi upo fikiria juzi Tambwe na Chirwa hawakucheza hii pekee sycologically timu zimeanza kuingia woga!
 
Haya mkuu subiri uaibike nafikiri utashindwa hata kujibu comments zetu

Eti wa Matopeni.. ....
Sawa subirini tuwaone wa kimataifa
Mkuu! kuna anaye aibika kwa kusema bayana yanayokuja kutokea hapo baadaye?
 
Kweli jamaa kachambua vizuri ...ukiachilia mbali ushabiki Simba wajipange vizuri performance yao sio nzuri ya kupata goli moja hawana team work kila MTU anacheza kivyake!Yanga uwezekano wa kufunga magoli mengi upo fikiria juzi Tambwe na Chirwa hawakucheza hii pekee sycologically timu zimeanza kuingia woga!
sasa waambie wamuweke bench mpachikaji mabao wao bora ......alafu uone kama wana uwezo si tu wakushinda bao sita, bali wa kushinda mechi..
 
naheshimu mtazamo wako, ila kusema kuwa timu ikishajeruhiwa na timu nyingine ndio sababu ya kushindwa kuwamwagia mvua ya mabao, hapo nakataa kabisa.

Mbona kwenye ligi yanga anapiga mtu nyinginyingi...au na hao wanaopigwa nyinginyingi hawajacheza hata mechi moja?

naamini leo zimamoo wanapigwa nyingi tena ila zinaweza zisifike zile 6 kwakuwa watachukua tahadhari ya ziada kuepukakuaibishwa.

kwa ubora wa klabu kama ya Yanga kwenye mashindano hayo....si dhani kama itampiga mtu bao ka'mojaau tu'wili ....na ikaridhika.

labda kuwena mpango maalum wa mwalimu.
Tathimini yako nzuri ila unasahau kua kila timu iliyocheza na simba tayari ilishajeruhiwa ivyo inakua na nafasi ya kujirekebisha ndo mana ata simba ushindi wake umekua wa tabu.juzi yanga alipata goli sita kwa jamhuri ila leo hawezi kuzipata kwa zimamoto ambao juzi walipoteza mbele ya azam.Mpira hauchezwi kwa hisia kaka
 
Ganja bhaaana
mlikuwa mkiwapa akina nyoso na yule mwenzake aliyekimbia kucheza soka norway na kurudi bongo..

auumesahau mkuu, si ndio ilikuwa boost kwa wachezaji weni kipindi kile?
 
Kama mnaacheza hapa JF basi mtakua mabingwa.
Mkuu!

mnaweza beba ubingwa wa Mapinduzi Cup ila ni kwa taratibu hii - Mpangiwe kucheza na Jamhuri (nusu fainali) na mpangiwe kucheza na KVZ (fainali)

alafu Azam , Yanga na URA zisitishwe kuendelea na michuano.
 
endeleen kufunga na kusali mbadilishiwe kile kifurush chenu cha siku ambacho kimegoma kuungwa mpaka leo
Mkuu! naamini kabisa kuwa kifurushi chenu cha mwezi kitakapo fika ukomo, utatoa laini, utavunja simu na kuuza chaja ya simu.

Nadhani ukomo mnaujua kuwa upo, ila mnajiandaa kisaikolojia kupambana na presha za awali kutoka kwa watani zenu kwa kujipa faraja zilizo jaa giza nene.
 
naheshimu mtazamo wako, ila kusema kuwa timu ikishajeruhiwa na timu nyingine ndio sababu ya kushindwa kuwamwagia mvua ya mabao, hapo nakataa kabisa.

Mbona kwenye ligi yanga anapiga mtu nyinginyingi...au na hao wanaopigwa nyinginyingi hawajacheza hata mechi moja?

naamini leo zimamoo wanapigwa nyingi tena ila zinaweza zisifike zile 6 kwakuwa watachukua tahadhari ya ziada kuepukakuaibishwa.

kwa ubora wa klabu kama ya Yanga kwenye mashindano hayo....si dhani kama itampiga mtu bao ka'mojaau tu'wili ....na ikaridhika.

labda kuwena mpango maalum wa mwalimu.
Kaka michuano ya mapinduzi haina marudio kama ligi vpl kama huamini kua timu ikashapigwa inajihami kupigwa tena nitafute baada ya gemu ya yanga na zimamoto leo
 
Huo ni utabiri tu,so mda wowote unaweza ukabadilika kuwa uongo.Ule msemo mpira dak 90 hawaja kurupuka.
Kuna utabiri uliojivika ngozi ya kinyonga, huo ndio hubadilika mara kwa mara . Kama ule mliokuwa mkijitabiria kila baada na mwanzoni mwa misimuiliyopita kuwa mtakuwa mabingwa wa ligikuu.

huo ndio uliokuwa ukibadilika mithiri ya kinyonga.
ila utabiri wa kuwa Yanga SC atakuwa bingwa sio wa mzaa mzaa, kwa sababu macho yana ona ...kichwa kinaambiwa, na masikio yanasikia.
 
Kaka michuano ya mapinduzi haina marudio kama ligi vpl kama huamini kua timu ikashapigwa inajihami kupigwa tena nitafute baada ya gemu ya yanga na zimamoto leo
Usisahau kua kila baada ya siku moja timu inakua uwanjani so kwa kocha mwenye akili nguvu nyingi aitakiwi muhimu ushindi ili kwenda hatua inayofuata.Nguvu itatumika pale inapobidi.
 
Bila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.

1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine

Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.

1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine

Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A

Yanga SC vs URA

Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B

Azam FC vs Matopeni FC

(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)

FAINALI:-

AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.

Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.

YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.

Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .

wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....

Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.

Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.

NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
Nalo neno....haha haaaa Mikia FC.
 
ina maana kwenye ligi timu huwa azijihami kushuka daraja?
Kaka michuano ya mapinduzi haina marudio kama ligi vpl kama huamini kua timu ikashapigwa inajihami kupigwa tena nitafute baada ya gemu ya yanga na zimamoto leo
 
YANGA NA SIMBA NUSU FAINALI.... Mark my Words
Labda ufanye makusudi kujifungisha mechi moja ili umalize nafasi ya pili...

hapo utaweza kukutana na Yanga SC inayoshika nafasi ya kwanza kwenye group lao..

sidhani kama mpo tayari kutolewa na Yanga sc nusu fainal..
 
Usisahau kua kila baada ya siku moja timu inakua uwanjani so kwa kocha mwenye akili nguvu nyingi aitakiwi muhimu ushindi ili kwenda hatua inayofuata.Nguvu itatumika pale inapobidi.
Mkuu! ndio kusema wao Yanga nsdio wanatumia sana nguvu( na sio akili) ndio maana wanashinda mabao mengi.....?
 
Uzi zenye ukweli mchungu kama hz huwa zinapigwa vita sana,ngoja waje kukutusua na mitusi yao hapa
 
Mkuu! ndio kusema wao Yanga nsdio wanatumia sana nguvu( na sio akili) ndio maana wanashinda mabao mengi.....?
Sina maana hiyo ila kinachoonekana kwa yanga ni kwamba wanataka sifa nyiingi mno kwenye hatua ambazo timing ndo inatakiwa zaidi kuliko kukaza misuli kupambana kwa nguvu zote na wala pweza wakati mbeleni kuna hatua ngumu zaidi.Na ndo mana yanga michuano hii kaingia fainali mara nyingi ila kombe kabeba mara moja tofauti na mpinzani wake
 
Kamusokooooooo,,,,,Mkata umemee,,,,,,,Dombo mwana Wa ngoma,,,,,huku hapygod msuva na joseline Tambweeeeeeee,,,,,,wanalalamikaaaa oooh la mkono,,,la mkono kamuulize Nape pale ilivyokuwa mlimani city na myfair plazza
 
Kwa Yanga hii mtu yoyote anaebisha kuwa haichukui Ubingwa inabidi akapimwe akili
 
Back
Top Bottom