Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

4G wana hasira sana,mchawi wao aliachwa bandarini jana,alichelewa boti
 
Wakuu hivi Mwenye Huu Uzi Kajipiga Ban Mwenyewe Au Kabadilisha ID?
 
Azam alitegemea ushindi wa jana usiwe kilaza wewe!
 
Azam alitegemea ushindi wa jana usiwe kilaza wewe!
si kweli..zimamoto alitakiwa ashinde zaidi ya goli saba ili kumzidi azam, jambo ambalo lingekuwa gumu! pili hata kama azam ushindi wa jana ulikuwa muhim mno kwake na tuseme yanga kamsaidia lakin si kwa idadi ya magoli yale, hata 1:0 au 2:1...lakin 4G? tukubali tu, mpira unadunda ndgu yang!
 
NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.

Basi Mkuu Kwanza Ungelikuja Angalau Ukajitoa Kimasomaso.... 😀 😀
 
Basi Mkuu Kwanza Ungelikuja Angalau Ukajitoa Kimasomaso.... 😀 😀
Mkuu una roho mbaya. Mtu kavalishwa nepi aje hapa kufanya nini?Panyeshapo ndipo pavujapo. Isingenyesha tusingejua panapovuja. Ahsante Azam.
 
Na bado! Waje tu wakidhani simba ni dhaifu ili wadhalilike zaidi.
 
Mtoa post naona ushapga bapa ya moto a.k.a Lusekelo unaanza kubwabwaja povu hovyo..haya jipe imani,,jana hatukuwaona lakn..mliingilia njia ipi?@
 
Unaona ulivoharisha maneno ya siyo na tija angalia sasa 4G
Nakuonya usirudie kubwabwaja tena
 
Inawezekana kajinyonga baada ya matokeo ya 4G embu fuatilieni tujue Dem yuko hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…