Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
4G wana hasira sana,mchawi wao aliachwa bandarini jana,alichelewa boti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaharisha mkuu. Chezea koni weye.Wakuu hivi Mwenye Huu Uzi Kajipiga Ban Mwenyewe Au Kabadilisha ID?
Kwa nini? Naona mmepumbazika sana na ya Jana! Tumemvusha azam ndgu yenuWe monicca. Nini weweידךג לגליגימבת₪?
Azam alitegemea ushindi wa jana usiwe kilaza wewe!😀 😀 😀 Msimamo Kabla Ya Mchezo wa 4G FC vs Azam ulikuwa hivi ↓↓
Timu P Pts
Yanga 2 6
Azam 2 4
Z'Moto 3 3
J'Huri 3 1
Sasa Hapo Hebu Tuambie 4G FC kamsaidia Kivipi Azam ili Afike Nusu Fainali Wakati Wote Walikwisha ingia?
Endeleeni tu Kujifariji....
si kweli..zimamoto alitakiwa ashinde zaidi ya goli saba ili kumzidi azam, jambo ambalo lingekuwa gumu! pili hata kama azam ushindi wa jana ulikuwa muhim mno kwake na tuseme yanga kamsaidia lakin si kwa idadi ya magoli yale, hata 1:0 au 2:1...lakin 4G? tukubali tu, mpira unadunda ndgu yang!Azam alitegemea ushindi wa jana usiwe kilaza wewe!
NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.
Mkuu una roho mbaya. Mtu kavalishwa nepi aje hapa kufanya nini?Panyeshapo ndipo pavujapo. Isingenyesha tusingejua panapovuja. Ahsante Azam.Basi Mkuu Kwanza Ungelikuja Angalau Ukajitoa Kimasomaso.... 😀 😀
Wewe utakuwa MchawiYANGA NA SIMBA NUSU FAINALI.... Mark my Words
Unaona ulivoharisha maneno ya siyo na tija angalia sasa 4GBila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi. Assume mechi zote za Azam na Yanga wameshinda .....wao kwa wao wametoka sare. Hapo yanga atakaa juu kwa idadi ya mabao. (Ikumbukwe kuwa Wachezaji wa Yanga SC wamepewa mzigo wa kuhakikisha wanafunga zaidi ya mabao 4 kila mechi ya hatua ya makundi) na wamedhihirisha hilo katika mtanange wake wa kwanza wa michuano hiyo.
1. Yanga
2. Azam
3. Mwingine
4. Mwingine
Kundi B hakuna atakayebisha kuwa Matopeni FC mtaongoza kundi licha ya kuwa mmepangiwa kundi jepesi mno , URA wamepoteza mechi yao 1. sina hakika kama kupoteza kwenu point kutakuwa kwa kufungwa, Bali kwa kutoa sare. nadhani mtatoa sare na URA (kwa kuwa wanaonekana ni wagonjwa pia)...Hapo mtakaa nafasi ya juu kwenye group.
1. Matopeni FC
2. URA
3. Mwingine
4. Mwingine
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group B atacheza na mshindi wa pili wa group A
Yanga SC vs URA
Nusu fainali:- Msindi kwa kwanza wa Group A atacheza na mshindi wa pili wa group B
Azam FC vs Matopeni FC
(Hapa ndipo utakuwa ukomo wa Matopeni FC, hasa ukitia maanani kiwango chao huko Zanzibar ,na walipo cheza na baadhi ya vilabu vya zenji ambavyo Yanga SC hujipigiaga mengi mengi)
FAINALI:-
AZAM FC VS DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SC.
Ukiuweka ushabiki pembeni na ukaulizwa nani atakuwa mshindi wa huu mtanange kwa kuzingatia ubora na perfomance ya hizi klabu mbili katika michuanno ya Mapinduzi Cup...Bila shaka chaguo lako litakuwa ni yule aliyeweza kutupia tupia mabao mengi mengi tangu mwanzo wa michuano.
YANGA BINGWA WA MICHUANO YA MAPINDUZI CUP 2017.
Baada ya hapo wenzetu wa Matopeni FC .....watarudi Dar kuendelea na Ligi .
wakiwa na Mawazo,Huzuni,Hofu, zilizozaliwa kwa kukosa Ubingwa wa Mapinduzi Cup watajikuta wwakipokea vipigo ambavyo vyenye kufanana na vile vya African Lyon na Prisons....
Huku wakitazama nyuma (wamuonapo Yanga SC) wanajazwa tena wasiwasi inayowapelekea kusarenda Usukani wa LigiKuu bara na kunyoosha mikono juu na kusema `Tumeshindwa, Nendeni nyinyi`.
Hapo ndipo Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa Ligikuu Tanzania Bara watatwazwa Mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo.
NB:- muendelezo wa huu uzi wa nini kitatokea upande wa Matopeni FC baada ya Yanga SC kutwaa ndoo utaendelea baada ya uhitimisho wa Kombe la Mapinduzi.