Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Na hatukutaka kupoteza muda kwenye Bonanza lisilo na faida yoyote.Tuna majukumu makubwa sana ya CL.
Huu ujasiri wa kuongea haya maneno ya shombo unautoa wapi? Mapinduzi Cup ndilo kombe pekee lililo wafuta machozi msimu uliopita!

Au mna ndoto za kuchukua ubingwa wa ligi kuu, na ule wa FA? Aisee msahahu.
 
Sasa kwani ni uongo Mapinduzi Cup siyo Bonanza,lina tofauti gani na Ndondo Cup? Yani ligi ndiyo kwanza ipo kati kati na tofauti ya point 6 tu ushaanza kuleta maneno ya shombo kwa Simba kuwa hawachukui ubingwa?

Simba inaelekeza nguvu kubwa kwanza kabisa CL ili ifikie malengo yake ya kufika Nusu Fainali.Nyie Yanga hata group stage ya CL yaliyokuwa malengo yenu mlifail mkaangukia CC ambako nako kufika Robo fainali ni mtihani mkubwa. Kila la heri Wananchi kwenye kushiriki Bonanza au ukipenda iite Ndondo Cup ya Zanzibar.
 
Sawa. Na sisi tunawaombea mafanikio mema huko CL. Ila kwenye Ligi ya ndani, aisee kazi mnayo.

Maana Yanga tumejipanga kuwa Mabingwa wa Ligi kuu, kwa miaka 10 mfululizo.
 
Kama kuchukua Ubingwa mara 10 na mwisho wa siku unaishia kucheza kombe la shirikisho,heri Simba iendelee kutokuchukua huo 'Ubingwa' wa ndani lakini kule CAF inacheza CL.

Kule Zanzibar waandaji wa Bonanza wamenuna Simba kujitoa kwa mashindano kikubwa.Na next mechi tutafungwa kabisa tunaweka kikosi D ili tuwaachieni Wananchi mtambe na huko pia,Simba inarudi kujiimarisha kwa ajili ya majukumu makubwa ya CAFCL.
 
chama la wana mlasimba 😂
 
Attachments

  • 255620579175_status_d251a9fe39704dbe80fc64e2948e6fff.mp4
    5.1 MB
Sasa kwani ni uongo Mapinduzi Cup siyo Bonanza,lina tofauti gani na Ndondo Cup? Yani ligi ndiyo kwanza ipo kati kati na tofauti ya point 6 tu ushaanza kuleta maneno ya shombo kwa Simba kuwa hawachukui ubingwa?

Simba inaelekeza nguvu kubwa kwanza kabisa CL ili ifikie malengo yake ya kufika Nusu Fainali.Nyie Yanga hata group stage ya CL yaliyokuwa malengo yenu mlifail mkaangukia CC ambako nako kufika Robo fainali ni mtihani mkubwa. Kila la heri Wananchi kwenye kushiriki Bonanza au ukipenda iite Ndondo Cup ya Zanzibar.
Ahmed Ali alisema mnakwenda kutetea kombe lenu wewe unapingana nae?
 
Kalpana umekiona kikosi first eleven chetu..!?

Scars vipi hukuhama tena??

Shemela Evelyn Salt njoo huku umuulize tena swali jingine huyu Kalpana ...

Bantu Lady njoo huku umwambie huyu Kalpana kuwa kikosi B cha Yanga kinashinda kama Kikosi A
Bado upo tuu ndugu yangu...hayo mashindano waachieni wenye nchi yao...huko kushinda dkk 80 ni kwamba mlihenyeshwaa sema kabahati kaliwaaangukia..
 
Nipo sana tu..!! Wasalimie dunduka wenzio
 
Back
Top Bottom