Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Nelaon Kapama kapaisha mpira wa kona uliopigwa na Okrah

Alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga
 
Duuh.. Kwa Hawa wachezaji nikiri Simba hatuna timu dugu zangu..
Huyu kocha wetu mpya ndugu yake na Pele atakuwa anasononeka sana akitazama Hawa pimbi wanavyorukaruka kama maharage yanayochemka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hujui hiki ni kikosi gani?
 
Duuh.. Kwa Hawa wachezaji nikiri Simba hatuna timu dugu zangu..
Huyu kocha wetu mpya ndugu yake na Pele atakuwa anasononeka sana akitazama Hawa pimbi wanavyorukaruka kama maharage yanayochemka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha kwa kweli
 
Shambulizi linafanywa na Mlandege katika dakika ya 45 ambapo mpira wake umeenda nje ya lango
 
Back
Top Bottom