Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ngapi?Mna point 4 ambazo ni pointless
BOra sie hatukutaka kupoteza nguvu..maana hizo takwimu hazijaingiza kitu 💃 😆Pamoja na hilo ila sisi tunatakwimu bora 😂
Miguu imekufa ganzi kutokana na kukaa sehemu moja muda mrefuNdo maana miguu yake imekufa ganzi anashindwa kucheza vizuri
Aaaqh basi sikuelewaKuna mtu anataka flat screen......aletewe na Kambole
Mkuu ni kuchanganyikiwa au vipi?Kuna timu inaitwa Yangu?Au presha ya feri?Nyie ngapi?
Yangu goal difference
Points
Hatujafungwa
😂😂😂
Mmefanya vizuri kwenda huko, angalau mtamfanyia shopping Kocha wenu,kuchomekea jezi 😂😂Ndo maana miguu yake imekufa ganzi anashindwa kucheza vizuri
Daaah huruma sanaMiguu imekufa ganzi kutokana na kukaa sehemu moja muda mrefu
Hata kama ni wewe ufungiwe kwemye nyumba ambayo umepewa route mbili
Ya kwenda msalani na kwenda sebuleni kwa ajili ya msosi unafikiri utaweza kuhimili mateso hayo?
Huyo ataanza kuvaa suti soonMmefanya vizuri kwenda huko, angalau mtamfanyia shopping Kocha wenu,kuchomekea jezi 😂😂
Tumefungwa na nani? Kungekuwa na mshindwa bora tungepita (best loser)😂😂😂Hamjafungwa lakini ni kama mmefungwa
Yale yale ya ndoige
Mmempeleka shopping,na msisahau kumnunulia mkanda 😂Huyo ataanza kuvaa suti soon
YeahAaaqh basi sikuelewa
Huyo anavaa chuku chuku tuu ndo mambo yake hata sutiMmempeleka shopping,na msisahau kumnunulia mkanda 😂
Anavaa kachumbari 😂.Huyo anavaa chuku chuku tuu ndo mambo yake hata suti
Kabisaa sisi tuko nae bega kwa bega...Anavaa kachumbari 😂.
Kwenye ligi hata akipoteza game 5 hatutamlaumu cos anatengeneza Timu yake