Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jan 7, 2023 #261 Mshana Jr said: Singida anafanikiwa kusonga mbele kwa advantage ya goli 2 alizozipata kwenye jumla ya michezo aliyocheza dhidi ya mpinzani wake Yanga[emoji23] Click to expand... Mnyama anaelekea Dubai wao wanasalia Avic
Mshana Jr said: Singida anafanikiwa kusonga mbele kwa advantage ya goli 2 alizozipata kwenye jumla ya michezo aliyocheza dhidi ya mpinzani wake Yanga[emoji23] Click to expand... Mnyama anaelekea Dubai wao wanasalia Avic
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jan 7, 2023 #262 BRN said: Lakini mmetolewa Click to expand... Dunduka kwa kujifariji sasa..!!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jan 7, 2023 #263 Tui said: Utopolo kwa kujifariji.Tatizo hawawezi hata kuandika maneno yakaeleweka."Tumetotewa"ndio nini?Au presha ya feri.Kwani mgomo si bado mtaruhusiwa kupanda msijali. Click to expand... Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua kuandika
Tui said: Utopolo kwa kujifariji.Tatizo hawawezi hata kuandika maneno yakaeleweka."Tumetotewa"ndio nini?Au presha ya feri.Kwani mgomo si bado mtaruhusiwa kupanda msijali. Click to expand... Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua kuandika
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jan 7, 2023 #264 Mtoto halali na hela said: No Mayele no problem Click to expand... No Chama; no goal, no assist! 😃
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 Jan 7, 2023 #265 Scars said: Walikujaje? Au walizamia? Click to expand... Walimpanda yule chezaji lao aitwae kambale si unajua kwenye maji anatereeeeeza
Scars said: Walikujaje? Au walizamia? Click to expand... Walimpanda yule chezaji lao aitwae kambale si unajua kwenye maji anatereeeeeza
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Jan 7, 2023 #266 Ngalikihinja said: Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua Click to expand... Rudia kusoma wewe Utopolo. Wacha kuweka maneno yako yasiyoleta maana. Hujui matumizi ya nukta?
Ngalikihinja said: Dunduka, hivi(kujifariji.Tatizo) hili ni neno moja...!?? Maana wewe unajua Click to expand... Rudia kusoma wewe Utopolo. Wacha kuweka maneno yako yasiyoleta maana. Hujui matumizi ya nukta?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jan 7, 2023 #267 nguvu said: Kwani mgomo unaendelea? Click to expand... Nadhani hawewezi kugoma kwa sbb hata nauli ya ndege hawana
nguvu said: Kwani mgomo unaendelea? Click to expand... Nadhani hawewezi kugoma kwa sbb hata nauli ya ndege hawana