Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nami nipo
Anayejua mpira hawezi kumlaumu au kumsifia mchezaji ambaye alikuwa nje ya competitive match kwa zaidi ya miezi 6Waliomsifia Mudathiri muda mchache uliopita ndio hawa wanaosonya saizi
Potelea mbali....Yanga ikipita hapa itakutana na Azam, hapo ndio uhondo wa mechi utakapokuwa
Kuna mtu kazungumzia mfanano wa makipa, ila mimi nimeona inayofanana ni kipa wa Yanga dhidi ya wachezaji wa ndani wa SingidaJezi ya kipa wa Singida ina blue ile ya nyeusi, wakati Yanga ni blue ile ya anga kama jezi za wachezaji wa ndani wa Singida walizovaa
Bado haitoshi kuwatofautisha?