Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Waliomsifia Mudathiri muda mchache uliopita ndio hawa wanaosonya saizi
 
Alipoteza balansi mwenyewe wala hakusukumwa
 
Hapa ndipo inaanza shida ya Kocha kaze. Sub inahitajika lkn yuko kimya
 
Potelea mbali....
Tusirudi kama nyie after 2mechi😀😀
Sisi tuko Dubei

Nyie mkitolewa hapa mna pakwenda?

Naskia hata kule Avic Town land lord ni kama kawapa notisi
 
Jezi ya kipa wa Singida ina blue ile ya nyeusi, wakati Yanga ni blue ile ya anga kama jezi za wachezaji wa ndani wa Singida walizovaa

Bado haitoshi kuwatofautisha?
Kuna mtu kazungumzia mfanano wa makipa, ila mimi nimeona inayofanana ni kipa wa Yanga dhidi ya wachezaji wa ndani wa Singida
 
Daaah yani Singida kumbe wamekuja na Ajibu lakini wamemuacha nje kwenye game kama hii?
 
64'

^Mabadiliko^

Singida

Kaseke out
Enock Atta in

Gyna in
Boxer out

Yanga

Kambole in
Clement out
 
Back
Top Bottom