Bahati haiji x2 mkuuππMjeda umekoswa risasi mbili tu tayari ushaanza kutishia kuacha kazi?
Unaweza ukakutana na zari la mechi iliyopita kushinda dakika ya mwisho ya nyongeza
Sioni dalili hizo kwa straiker kama KamboleIliwakuta Argentina mpaka wakachukua kombe inashindwaje kwenu?
Iliwakuta Argentina mpaka wakachukua kombe inashindwaje kwenu?
Ngushi π,ila kalale sasa umefuata nini hizi dakika za mwisho πNimechungulia kideoni mmerudisha
Ila kuna mtu amempiga ugoko msingidani fulani kribia avunjike anaitwa sijui kibabake
Dakika ya 88
Mimi na nyie ni damu damu nawapa kampaniNgushi π,ila kalale sasa umefuata nini hizi dakika za mwisho π
Kesho uje utupokee Ferry πMimi na nyie ni damu damu nawapa kampani