Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Hii mechi utaisha hivyo,sioni kama kuna jipya tena
Mjeda umekoswa risasi mbili tu tayari ushaanza kutishia kuacha kazi?

Unaweza ukakutana na zari la mechi iliyopita kushinda dakika ya mwisho ya nyongeza
 
Hutu Gyan atawakosti Singida

Namuona anafosi sana kupiga chenga kupita katikati ya watu na kusababisha kupokwa mpira
 
YANGA na simba za NPL ni madude makuuubwa..
But mapinduzi za kawaiiiida...
 
Iliwakuta Argentina mpaka wakachukua kombe inashindwaje kwenu?
1673031949371.png
 
Hawa wafanyakazi wa Mwigulu wanamkosea sana heshima Boss wao 😀
 
Dakika ya 90

Tunasubiria ya nyongeza maana kipindi cha kwanza refa aliongeza 4 kwa vurugu
 
Back
Top Bottom