changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mechi ngumu hii kwa YangaHawana maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ngumu hii kwa YangaHawana maajabu
Guvu moyaMechi ngumu hii kwa Yanga
Dogo kama hatalewa sifa anaweza kuwa akamrithi BokoYap kafanya turning moja nzuri sana
Vipi unaonaje usajili wa huyu Mudathir?Yanga imefanya mashambulizi ya hatari sana kwenyw lango la singida
Sioni dalili mpaka saizi cos mpaka sasa hatuna shot on target au shambulizi la maanaMtarudisha tu
🐸🐸Ahsante kunishitua Mtani. 🙏
Tunachohitaji ni kusonga mbele tu na sio kingine.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Acha wogaSioni dalili mpaka saizi cos mpaka sasa hatuna shot on target au shambulizi la maana