Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapana ila wamekoseaUnadhani ndio tatizo lilipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ila wamekoseaUnadhani ndio tatizo lilipo?
Heee hapa ikojeeBruno Gomez anapiga freekick lakini Singida wenyewe wanaokoa shambulizi
Silva anajifanya mfia timuHawa wanajisahau sana si umeona hilo shambulizi
Umefuata nini huku 🤭Heee hapa ikojee
Popote ulipo nipoUmefuata nini huku 🤭
😀😀😀Yani yule yule beki tangu kasajiliwa naamini kitu cha maana kakifanya leo
Huko nyuma alikuwa anaruka ruka tu
Urudi tukisawazisha basi 😀Popote ulipo nipo
Mi namuona bora kuliko Morrison.Sijui kwanini huyu Ambundo simkubali kabisa
Mkuu idea yako nzuri sana 😀Yanga tokeni huko zanzbar mkajiandae na michuano midogo ya caf
Tunatofautiana sana. Morisson anajua mpira sema ujeuri tuMi namuona bora kuliko Morrison.
Huwa simkubali Morrison.