Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
1-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaAa hilo tuu mbona mnasawizisha dkk yenyewe ya kumi naa.... mapemaa mnooUrudi tukisawazisha basi 😀
Tayari huku 1-1HahaAa hilo tuu mbona mnasawizisha dkk yenyewe ya kumi naa.... mapemaa mnoo
Sijaelewa kinacholalamikiwa na Singida ni kitu gani? Kuna tukio gani lililopelekea kulalamika kwao?Goooooal Yanga wanasawazisha
Free kick ni offside?Singida wanalalamika kuwa bao no offside
Wanacholalamikia ni kwamba refa kanyoosha mkono juu kabla ya faulo kupigwa kitendo kilichoashiria ni indirect kick.Singida wanalalamika kuwa bao ni offside
Sasa mbona hawakuingilia mchezo? Free kick iliingia direct....... Elimu ya offside bado ni tatizoKabla ya mpira kupigwa wachezaji wa Yanga walianza kuvuka mstari na kuwaacha nyuma
Kwa mujibu wa maelezo yao
Aaaah wasijifanye wanauchungu na timu kumzidi Boss wao Mwigulu 😀Wanacholalamikia ni kwamba refa kanyoosha mkono juu kabla ya faulo kupigwa kitendo kilichoashiria ni indirect kick.
YeahYanga ina hitaji ushindi ili isonge mbele