Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Huu mpira haujawa mzuri kama nilivyo tegemea

Sijui kwasababu zimekutana timu zenye uwezo sawa?
 
68'

Kona Yanga wanapata
 
69'
Yanga inafanya mabadiliko

Dickson Ambundo out

Daruwesh Rashid In
 
70'
Yanga wanapata kona nyingine
 
72'

Rodrigo Fegu out

Ibrahimu Ajibu in
 
Tangu lini ligi ikawa na matuta?
Mwaka jana Yanga alitolewa na Azam kwa penati

Mi navyojua hapa anatafutwa wakukutana na Azam

Yanga na Singida wote wana points sawa

Ikiisha sare nani atapita?
 
Back
Top Bottom