Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hahahha ila dkk si bado?Kesho uje utupokee Ferry 🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha ila dkk si bado?Kesho uje utupokee Ferry 🙁
Argentina walilichukua kwa bahati sana hili WCNdio maana nasema bahati zinakuja hata mara kumi
Mashindano yatapoteza mvuto,no Yanga no Simba 😀😀Dakika 8 zimeongezwa!!
Hiyo inaitwa mpaka Yanga ishinde
Mhhh huyu refa wa weldi kapu nini? Maana ndo walikua wanaongeza dkk 8 mpk 10 hukoDakika 8 zimeongezwa!!
Hiyo inaitwa mpaka Yanga ishinde
Sioni dalili kwakweli labda Singida waambiwe chochote na Boss wao MwiguluHahahha ila dkk si bado?
Angalau hela wanapata kupitia hizo timuKwani mwanzo yalikuwa na mvuto?
Yaani avumilie kufungiwa ndani miezi minne halafu awaachie tena? Ndo kwanza amekujaKambole atuachie Yanga yetu.
Kwa msimu huu tuwaachie Azam tuNyie kina Chukwu emeka hili kombe si huwa hamlipendi?? Mngecheza hata kilaini muwaavhie singida na numungo