Mapinduzi DRC: Jeshi la DRC latangaza kuzuia jaribio la mapinduzi

Mapinduzi DRC: Jeshi la DRC latangaza kuzuia jaribio la mapinduzi

Kagame unamjua?. Kampigania Museveni, kamaliza genocide Rwanda na kamuondoa Mobutu Zaire. Heshima kwake. Sio wewe unajificha kwenye keyboard.
Kampigania museven kwny nn? Kwan wakati mapinduz yanafanyika uganda
Huyo kagame alikuwa na power gani kubwa ilhal naye alikuwa mshirika tuu tena mwenye kikosi kidhaifu, hiyo n sawa n kusema bila kagame museven asingechukua nchi which is lying

Hiyo genocide itaendelea vp ikiwa alitimilia wahutu wote nje ya rwanda, akawavua vyeo makamanda na askari hodari kisa kabila, akaajiri watusi peke yake serikalini, akanyang’anya mashamba yao na kuwafanya wakimbiz ndani y nchi yao..

Na yeye ndo anayeleta hizo chokochoko zote congo kwa tamaa ya mali na kupandkiza vibaraka wake,

Ww umezaliwa inch ya wachumia tumbo, kanunua dagaa ule ushibe na ushushie maji mengi ulale

Upumzishe hiyo empty set yako
 
Inshort hawakuwa na lengo la mapinduzi, walitaka fikisha message walio kusudia thts all,

Bt mechanical issue iliotokea kwny boat yao ndo iliwafanya wakamatwe pale, boat ambayo ingewapeleka kwny mpaka wa congo brazzaville ilipo ndege yao
 
Inshort hawakuwa na lengo la mapinduzi, walitaka fikisha message walio kusudia thts all,

Bt mechanical issue iliotokea kwny boat yao ndo iliwafanya wakamatwe pale, boat ambayo ingewapeleka kwny mpaka wa congo brazzaville ilipo ndege yao,

Ikumbukwe congo brazzaville wanauhasama na DRC hivyo utumika km kichochoro kwa waasi wa serikali n wanamapinduz
 
Mnamu overrate sana jamaa. Siku mataifa yanayofaidika na madini ya Congo yakiamua kuacha, mtamkataa jamaa yenu.
Kubali the guy is fuccckkkkin smart, na sijui mtamsingizia nani this time maana shida zenu Congo hata za miaka 100 iliyopita ni Kagame, hakuna watu wa hovyo sana wasiofikiria kama Africans
 
My point is very clear
Wakifungwa ipo siku watasema wametoroka
Walitaka kupindua nchi adhabu yao ni kifo tu, maana wangeleta maafa zaidi wangefanikiwa
DRC inafanywa shamba la bibi
Aliokwambia adhabu yao n kifo tuu n nani?

Perhaps, wanaweza hukumiwa kifo n wasinyongwe…

Na ukisoma vzur wakongo wengi wamebless, inaonyesha bwana kaanza poteza ushahid
 
Back
Top Bottom