G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono.
Kipindi hiki zimekuja tena baada ya Mbowe kupata mpinzani kwenye kiti chake alichokifanya "Ni chake cha enzi" Yani Uenyekiti wa Chadema kwa Mbowe ni utukufu.
Mwaka 2010 nilipiga kura kwa Dkt. Slaa na Mnyika, 2015 nikapiga kura kwa Lowassa na Mdee, 2020 nikapiga kura kwa Lissu na Mdee. Naamini kuwa kura zangu zilikuwa na kitu ndani ya chama. Naamini nilikuwa sahihi kutetea chama nilichokipenda.
Mwaka huu wa 2024, Mbowe nakuapia kwa Mungu nimekichukia sana. Nakuona kama mzigo ndani ya Chadema. Natamani hata Mungu aingilie kati maana umekuwa na kiburi. Mbowe nimekuchukia sana na wafuasi wako wanaokuunga mkono.
Nimekuchukia kiasi kwamba kama utaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na hao machawa wako nitaanzisha harakati kukupinga na bora kife hicho chama kama wewe utavuka nacho ukiwa mwenyekiti.
Hayo mapinduzi kama ni yakukuondoa wewe na machawa wako basi hata michango tutatoa.
Mbowe nimekuchukia unajali zaidi maslahi yako na machawa kuliko uhai wa chama. Sitaki hata kukusikia!