Mapinduzi kama ni ya kumng'oa Mbowe na Machawa wake basi nayaunga mkono, naomba yawe

Mmechelewa kuijua sura halisi ya Freeman Mbowe.
Alituuza sana 2025 kiasi kwamba baadhi yetu tukajiapiza kimya kimya kama unavyo jiapiza hapa.
Akikaa pembeni hakika tutarudi kuupa nguvu mwamko wa mageuzi chanya.
 
Ni kama vile teamLISSU hawamtaki uchaguzi na mnachokitaka ni Lissu apite kwa kuteleza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…