Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

Wangekuwa wanaendeshwa kwa mihemko hivyo, kanisa lao lingekuwa lishakufa miaka Mingi.

Wamepitia changamoto nyingi na kubwa internal na external.
Lakini bado tunawaona mpaka leo, hata hili litapita.
Mtu yoyote mwenye akili timamu anapaswa kutambua kuwa......
Wokeism imeiteka dunia nzima, ukiona taasisi imara kama Catholic inapata kigugumizi jua dunia haipo salama tena.
 
Duuh! Wewe hujasema kweli, waislam wengi sana mashoga.
asitukumbushe waasisi wa ushonga Dar akina "anti mudi"

Yaani ukikamata mishoga 100 hapa Bongo basi 80 hadi 90 ni ya kutoka uislamuni.
 
Roman catholic haina uhusiano na kanisa lake Kristo Yesu.
Warumi walitafuta pa kujificha ili waishi humo hata Dola yao ikianguka, kweli jamaa wakajifichia kwenye ukatoriki na ulipofika Mwaka 476 Dola ya Rumi ilianguka rasmi Ila hawakujua kwamba jamaa wametengeneza Dola nyingine kwenye ukatoriki ambao unaishi mpaka leo,
 
Huwezi kuvunja kanisa kwa kauli ya mtu mmoja, kama kweli papa kasema hivyo basi asamehewe kwani na yeye ni Mwanadamu - na hakuna mwanadamu aliyekamilika hapa Duniani. Ataondoka na kanisa ataliacha.
 
Tupe mifano miwili hai (majina na misikiti wanayosalisha) ya viongozi wa kiislamu.
Ukishindwa nakuja kuku-sokomezea li-ukuni matakoni kwako.
Mifano unaijua vizuri sana wala sina haja ya kumtaja mtu wala misikiti hapa. Siyo lengo la huu uzi. Kikubwa kama umewahi fika znz naamini unalifaham hili wazi kabisa.
 
Kama hautaki mashoga kanisani anzisha kanisa lako
 
Umekuwa lini mshauri wa TEC?
 
Mombasa kwenye waislam wengi ndo kuna mashoga wa kutisha na kila mwanamke hana bikra ya nyuma.Vivyo hivyo Tanga,Pwani,Dar es salaam.
 
Askari Muislamu Shoga Zanzibar is loooding......
Mwalimu wa Madrasa aliyewanajisi watotow wadogo is loading.......

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Wewe una akili fupi sana. Kwa hiyo yule Afande Rama bila shaka ni mkristo yule!! Wale mashoga maarufu wa zamani na ambao wameshafariki kitambo!
Mfano Anti Bilali (huyu aliwahi kuhojiwa live na Zamaradi Mketema na kukiri yeye ni shoga), Anti Ali, Anti Athuman, na wengineo wengi; ni Wakristo bila shaka!!

Hapa sijawataja makumi ya walimu wenu wa madrasa waliohukumiwa vifungo virefu magerezeni, baada tu ya kutiwa hatiani kwa kuwalawiti watoto wadogo wa Kiislam wanaosoma elimu ya dini!!

Na vipi kuhusu nchi ya Kiislam Zanzibar!! Ndugu zenu Waislam wanafanyiana hivyo vitendo mpaka kwenye mahabusu za polisi! Achilia mbali mtaani ambako hivyo vitendo vimeshamiri!!
 

Tabia ya kukosoa au kushusha kitu kimoja ili kingine kionekane bora zaidi ni dalili ya kutokujiamini na pia kukosa sababu strong za kuonesha ubora wa kile unachokipigania kiasi cha kusubiri anguko la kile kinachoonekana kuwa bora zaidi ili chako kikubalike.

Naamini uislamu upo bora zaidi ya vile unavyouonesha. Kwa hiyo fungua thread uwaeleweshe watu uislamu nje ndani na kama wakiuona ni bora bhasi wataslimu
 
Kasome kwanza GREAT SCHISM au EAST - WEST SCHISM ndio Urudi na upuuzi wako. Ujue kwanza mgawanyiko wa EASTERN CHURCH na WESTERN CHURCH.....
Papa kashakwambia uende ukapewe ubarikio wewe peleka kijambio chako hicho acha kujitia,

Pole
 
Kwa sababu Hao wanajitangaza? Usiwadanganye watu hata huko wako sengi sana
 
Zanzibar na Pwani palipo na misikiti na waumini wengi wa kiislamu mbona ndiko kunaongoza kuwa na mashoga wengi?
Lakini umesikia wapi Msikiti wowote ule ukiridhia matendo kama hayo au kutoa waraka maalumu kwa ajili yao.
 
Sikia wewe! Wale ndio walioeneza ukatoliki duniani, ni taasisi yao ndio maana walituma wamisionari wao kuja afrika/tanganyika/tanzania kujenga makanisa yao. Haya majengo makubwa meni walijenga wao. Hata hivyo siku hizi hakuna wamisionari wa ulaya, ni waafrika tu ndio wanaoendesha makanisa, hivyo basi ni ruksa kujitenga kama wanaona wana code key zote za kuendesha ukatoliki tanzania bila vatican. Wenzao wa kkkt wanajiendeshea kanisa lao bila heardquarter kutoka ujerumani lilikoanzishwa kanisa lao. Kuna makanisa madogodogo yameanzishwa hapahapa tanzania na yako organized well na watanzania wenyewe. Ila kama watapata wafadhili/marafiki huko ulaya waangalie hao marafiki/wafadhili wanataka nini isije ikawa ni kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi. Kanisa katoliki tanzania inawezekana. Hawa hawa wakarithmatiki wanatosha kuwa ndiyo imani yao mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…