Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

Si mnasemaga papa anachaguliwa na Mungu. Ule moshi ukifuka utakayempata basi Mungu kamchagua.
Yaani hujasoma alichosoma na unatoa maoni kwenye maoni ya watu wakati unajua kila anayetoa maoni ana masilahi yake? Maana wengi wamepotosha alichosema. Ngoja kama unaweza kusoma, jisomee mwenyewe kuanzia page 20. Sehemu zingine ni lugha tofauti na hapo page 20 ni Kiingereza. Naambatanisha document yenyewe.
 

Attachments

Mbona unaandika utumbo bwana? Waraka una aya 45 tu. Lete aya yoyote ambayo unaona Papa kasema haiendani na maadili au hata ujumbe wa Yesu kwa wanadamu. Ngoja nisubiri kabla sijaenda mbele.
 
Unabii unatimia,dalili za wazi za mpinga krristo kutawala Ulimwengu zilizotabiriwa ndiyo hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…