Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.

Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.

Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?

image_6a0a95a9-d867-4b48-93b0-9e225433236620230928_131546.jpg
 
Hakuna watu wazuri kupika taarifa kama Viongozi wa Tanzania

Kama itakuwa kweli wanafika Watalii milioni 3.8 kama ilivyoripotiwa basi ni jambo la kupongezwa ila shida ni Upishi wa takwimu tunaofanyiwa na Viongozi wetu
 
Chawa ipo siku mtaanza kutukana maana mtachoka kusifia kila kitu wakati ndugu zenu hawana maji na umeme ni mgao na dawa hospital hakuna.
 
Umesoma kayumba nini? Soma hata kichwa cha hiyo habari. Kwa tafsiri ya hiyo heading tu hatujawahi kufikia hiyo rekodi.
Mimi nilivyoelewa kutokana na heading ni kwamba utalii ulikuwa umepungua sasa ile idadi inatarajiwa kupanda kwa sasa.
NB:Huo ni uelewa wangu wa shule za kayumba.
 
Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.

Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.

Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?

View attachment 2764970
[emoji2956][emoji7][emoji1720][emoji2788][emoji1732][emoji106][emoji109][emoji120][emoji120]
 
Chawa ipo siku mtaanza kutukana maana mtachoka kusifia kila kitu wakati ndugu zenu hawana maji na umeme ni mgao na dawa hospital hakuna.
Kusema ukweli ni uchawa ?!!

Hebu ionee aibu nafsi yako kwa tabia ya kuiendekeza....[emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna watu wazuri kupika taarifa kama Viongozi wa Tanzania

Kama itakuwa kweli wanafika Watalii milioni 3.8 kama ilivyoripotiwa basi ni jambo la kupongezwa ila shida ni Upishi wa takwimu tunaofanyiwa na Viongozi wetu
Na lengo ni kumfurahisha mama..

Yaani kama mm ni kiongozi sijui uniambie tumefikia takwimu hizi
 
Back
Top Bottom