Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Umesoma kayumba nini? Soma hata kichwa cha hiyo habari. Kwa tafsiri ya hiyo heading tu hatujawahi kufikia hiyo rekodi.Kabla ya Royal tour walikua hawaji, weka takwimu za mwaka huu na mwaka jana, tufanye maamuzi.
Upuuzi maana yake nini?Tutolee upuuzi
Mimi nilivyoelewa kutokana na heading ni kwamba utalii ulikuwa umepungua sasa ile idadi inatarajiwa kupanda kwa sasa.Umesoma kayumba nini? Soma hata kichwa cha hiyo habari. Kwa tafsiri ya hiyo heading tu hatujawahi kufikia hiyo rekodi.
Sawa chawa fc!!Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.
Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.
Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?View attachment 2764970
[emoji2956][emoji7][emoji1720][emoji2788][emoji1732][emoji106][emoji109][emoji120][emoji120]Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.
Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.
Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
View attachment 2764970
[emoji2956][emoji2956]Umesoma kayumba nini? Soma hata kichwa cha hiyo habari. Kwa tafsiri ya hiyo heading tu hatujawahi kufikia hiyo rekodi.
Wewe mwenyewe ni mpuuzi tu...Tutolee upuuzi
Kusema ukweli ni uchawa ?!!Chawa ipo siku mtaanza kutukana maana mtachoka kusifia kila kitu wakati ndugu zenu hawana maji na umeme ni mgao na dawa hospital hakuna.
NakaziaTutolee upuuzi
Na lengo ni kumfurahisha mama..Hakuna watu wazuri kupika taarifa kama Viongozi wa Tanzania
Kama itakuwa kweli wanafika Watalii milioni 3.8 kama ilivyoripotiwa basi ni jambo la kupongezwa ila shida ni Upishi wa takwimu tunaofanyiwa na Viongozi wetu