Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

Kwani Huwa wanakuja kutalii Bure? Mbona Dola hazipo. Au tu apigwa fix tu otherwise wawe wanakuja free of charge
 
Mbona Dollar bado shida kama tunapata watalii wengi namna hii
Wanajipimia (kama walivyoelekezwa na mkuu wa chama) kwa urefu wa kamba zao ambazo bahati mbaya ni ndefu mno ...hivyo zinaishia juu kwa juu!.
Umesahau ripoti ya CAG majuzi tu hapa iliwekwa kapuni??.
 
Ilitabiriwa takwimu kupikwa kwa hiyo hii wala siyo habari!
 
Mbona Dollar bado shida kama tunapata watalii wengi namna hii
Mkuu naisoma ile story yako imenipa vitu vingi sana na imeniongezea spirit fulani kama kijana. Naomba uni DM email yako ipo siku kabla ya mwaka kuisha tutawasiliana.
 
Na lengo ni kumfurahisha mama..

Yaani kama mm ni kiongozi sijui uniambie tumefikia takwimu hizi
Na hili lilianza tangu Mkwere aingie, baadaye walirithi viongozi wengine wote baada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…