Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Leo tarehe 12 January ni Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, nachukua nafasi hii kuwatakia nyote heri na fanaka za Mapinduzi na kukutakieni maadhimisho mema ya sherehe ya kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa watakao shereheka kwa wale wenye kumbukumbu njema, na kwa vile Mapinduzi Matukufu yale pia yaliandamana na umwagaji damu, natoa pole kwa wenye kumbukumbu chungu.
P
 
Leo Tanzania watu wana kimbia nchi.
wengi tu walokimbia nchi kuanza wakati wanyerere hadi huu wa magufuli.
kwanini wakakimbia ? Baada ya kuona mateso na madhila ya nawo wakuta wenziwawo kama wawo.

Sasa waarabu na wahindi walikimbia baada kuona wenziwawo walivyo dhalilishwa, kubakwa na kuuliwa bila ya sababu.
Sababu kubwa rangi zao na Asili zawo.

Hakuna chakukuweka utahama tuu kutafuta usalama wako.
Hata Bwana Mtume Muhammad na wafuasi wake walihama Makkah kwenda madina kwa usalama wawo.
 
Kwa uchache huo ndo maana uarabuni hakuba waarabu weusi kwakuwa waliopelekwa walikuwa wachache,Adamu na hawa walikuwa wawili lkn dunia leo umejaa watu hao waliopelekwa huko uarabuni walikuwa wachache kuliko adamu na hawa?.
 
Wewe ni Mwarabu au Mzungu? 😂😂😂😂😂😂😂 Au umeolewa na yupi kati ya hao?


 
Mapinduzi matukufu ndiyo yalileta haki,usawa na amani zanzibar

 
Akufukuzae hakwambii toka. Pasikali how can you be so obtuse? Dont reopen old wounds.
 
Akufukuzae hakwambii toka. Pasikali how can you be so obtuse? Dont reopen old wounds.
Mkuu simplemind , mimi kazi yangu ni mwandishi wa habari na jukumu langu ni kuripoti tuu kwa ukweli kile ninachosikia. Hapo nimeripoti kilichosemwa na shuhuda wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar ya January 1964, hapa kosa langu ni lipi au ni nini?.

Japo ni kweli Mapinduzi yale ni Matukufu kwa waliopindua na kuleta heri kwa waliokuwa watwana, lakini kwa mabwana waliopinduliwa, Mapinduzi Matukufu yale kwao yalikuwa majanga kwa umwagaji damu ulioendana na Mapinduzi Matukufu hayo, hivyo kuacha makovu. Pole sana.

P
 

Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Japo sasa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanaelekea miaka 60, Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Huu ujinga utaisha lini? Wewe mwarabu wa wapi? MAPINDUZI KUITWA MATUKUFU NI NENO LINALOTAJWA NA WAZANZIBAR WENYEWE. WEWE UNAONA WAARABU NA UISLAM. UMEKUWA BRAIN WASHED
 
Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.

Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali
 
kuwa Sultani hakufukuzwa Zanzibar, alikuwa akitafutwa hivyo alitoroka mwenyewe!, na baada ya Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, bali walijiondokea wenyewe!

Paskali
FaizaFoxy Mohamed Said Pascal Mayalla Huyu Anaweza kuruhusiwa kutembelea Zanzibar ?
Mkuu Yoda 、kwanza asante sana kuni tag,uzi huu Huyu ndo sultan wa Mwisho wa Zanzibar ..

Zanzibar ni one of my very special area of interest, yale mambo yangu ya kupenda misosi, nilipita mahali almanusura nisimishwe!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Tukirejea kwa huyu Sultan, kwa vile hakufukuzwa Zanzibar, alijiondokea mwenyewe, he is free kujirudia mwenyewe. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Kwa vile huyu kosa lake ni moja tuu Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe... tumemuomba。Rais Samia na rais Mwinyi wamsamehe tuu, wamkaribishe Zanzibar aje kumalizia Zanzibar, siku zake chache za maisha yake zilizobakia ili aki... ,a ... Zanzibar.

Mimi mwanajeiefu mwenzenu ni Mzee wa masauti nimeisha elezwa kitu na nikakieleza humu Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said Atafurahi Zaidi, Kama Ata... Zanzibar!, Rais Samia, Rais Mwinyi, Sameheni, Mtabarikiwa Sana!.
P
 
Wew ni muongo sana, huwez kuficha ukweli kwa kusema uongo wa namna hyo juu mapinduzi.
 
Mkuu Pasco

Mbona unapingana na hoja yako ya mwanzo kumbe Okello hakufanya Mapinduzi Zanzibar kumbe na yeye alitangulizwa mbele tu, vinara wa Mapinduzi ni kina nani? Tufahamishe Pasco.
Huyu muongo sn Yan okello atangulizwe tu kutangaza mapinduzi wkt hajulikani yeye ni nani, maan kasema akina akina abdul jumbe walikuwa wanauliza huyu ni nani?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Kumbe wewe umebeba kichwa kikubwa tu lkn hakina akili hata moja.

Unaemuita mwenye Zanzibar kati ya hao uwajuao waliofanya mapinduz ni nani?

Mtaje au wataje.
 
Wew ni muongo sana, huwez kuficha ukweli kwa kusema uongo wa namna hyo juu mapinduzi.
Mkuu Kishinajari, Kishnajr anayazungumzia Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Mzee Sukari, mimi hapa ni reporter tuu nikiripoti kilichosemwa na nilichokisikia, na links nimekuwekea ili na wewe usikilize mwenyewe, sasa muongo ni nani kati ya mimi niliyeripoti nilichosikia na aliyesema?. Tuheshimiane, kuitana waongo hakusaidii, kama unaujua ukweli useme!。
p
 
Tekinolojia ni nzuri sana isee uzuri YouTube ina video za mapinduzi hayo sehemu mbalimbali hapo unguja kuanzia mnazi mmoja, darajani, bububu na kwingineka unaweza kuona live kilichokuwa kinaendelea ni mauaji ya halaiki kwa waarabu hapo zanzibar kwa askari waliopindua walikuwa wanvuta bangi, na wengine walivaa gauni na mashera imagine ni wazi ni kama gang alafu waarabu waliuliwa kwa makundi na kutupwa kwenye visima na wengine walibakwa wengine walikimbia na majaazi na wengi waliuliwa pwani walipokuwa wanakimbia kunusuru maisha yao.

Kiukweli zanzibar ipo salama sababu ya muungano na si kitu kingine karume alitumia akili sana kumuomba nyerere waunganishe nchi sababu alijua kabisa usalama wake ulikuwa mashakani pamoja na hivyo bado walimpata na kumuuwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…