Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi

Afrika
1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma, Nepotism iliyokithiri na viongozi kukosa uzalendo kwenye national resources na kupelekea Mwaka 2020 Rais Ibrahim Boubacar Keïta alipinduliwa na jeshi na Wananchi kufanya sherehe kwa nchi kurudi kwenye himaya yao.

2. Sudan (1989, 2019) – Mapinduzi ya 1989 awali yalikuwa na support kidogo kutokana na shida za kiuchumi. Mnamo 2019, kuondolewa kwa Omar al-Bashir na jeshi kulikubalika na maandamano makubwa ya wananchi yalifanyika kuunga mkono mapinduzi hasa baada ya Ufisadi wa viongozi wa juu kukithiri.

3. Burkina Faso (2014) – Blaise Compaoré alilazimishwa kujiuzulu baada ya maandamano ya wananchi; uongozi wa kijeshi wa mpito ulipokelewa kwa awali.

4. Burkina Faso (2022) – Ibrahim Traoré alimuondoa Rais Paul-Henri Sandaogo Damiba; mapinduzi yalipokelewa kwa furaha na wananchi waliokuwa na wasiwasi kuhusu usalama na udhaifu wa serikali ya wakati huo huku resources za nchi zikisafirishwa nje na kuacha taifa lao bila kitu. Kwa sasa Traore ni kama mtume burkina faso

5. Misri (2013) – Jeshi liliwatoa madarakani Rais Mohamed Morsi baada ya maandamano makubwa ya wananchi, mamilioni ya wananchi waliunga mkono hatua hiyo

6. Guinea (2021) – Jeshi lilimuondoa Rais Alpha Condé kutokana na Ufisadi uliokithiri na vitendo vya ukosefu wa usalama kwenye nchi. Wizi wa viongozi na ufujaji wa national resources huku raia wakiwa hawana wanachopata.

Pia baadhi ya nchi coup d etat zilifanikiwa kwa baraka za wananchi baada ya serikali za nchi hizo kuwa na usimamizi mmbaya wa mali asili na kunufaisha wachache huku mali za umma zikisafirishwa magharibi;

Asia
1. Thailand (2006, 2014)
Jeshi lilichukua nchi kutokana na ufisadi uliotamalaki
2. Pakistan (1999) – Mapinduzi ya kijeshi kuondoa Waziri Mkuu Nawaz Sharif kutokana na kutoridhishwa na utawala.

Amerika ya Kusini
1. Brazil (1964) – Mapinduzi ya kijeshi kumuomdoa Rais João Goulart
2. Chile (1973) – Mapinduzi ya Augusto Pinochet kuondoa Salvador Allende

Mwisho

Dr. Megalodon N. Mushi
Canada
 
Kaka hii taarifa na Unawatisha wanamtandao chini ya Msoga - boy Jakaya Kikwete kiasi cha kushikwa na matumbo ya kuharisha ghafla...

Hii taarifa unaweza kusababisha Bi Kizimkazi ashindwe kuendelea na kampeni, arudi kujifungia ofisini...

Lakini for sure kabisa, Tanzania hii si muda mrefu inaweza kwenda kwa wajeda...

Na ni bora iwe hivi
 
Nitakuwa wa kwanza kuunga mkono jeshi letu tukufu kuwapindua na kuwafunga kikwete, kiziga Rostam na kizimkazi mwenyewe na wawaue dpwold
 
Back
Top Bottom