Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Hahaha waafrika kujitawala ni ngumu, ccm amegeuka mtawala korofi mweusi na sasa wanamrudisha mwarabu

Nipe sababu muhim za jwtz kufanya mapinduzi vinginevyo peleka ujinga wako huko huko.we tawala za kijeshi unazijua zilivyo au waropoka ili kunufaisha Jf
Hujanielewa..MIMI ASKARI
 
Ni nani hyo nabii?
 
Sidhani... Tungelipata habari sasa. Kwa kusoma siasa za Congo-Brazza, iko tofauti sana na nchi zingine kwenye Sahel au Gabon, n.k. Nguesso (and company) amekitisha Congo-Brazza shwari kwa muda mrefu. Sio tofauti sana na Musevini huko Uganda. Tuwe makini kwa uchunguzi za habari. Mbadala ni kusoma historia na muktadha wa kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…