Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

swali ni je,mapinduzi yana nia njema kwa wananchi au ndio yale yale kimtu kinakomaa hapo juu miaka 25 ijayo[emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo Ngueso mwenyewe kakaa hapo tangu 1997 tena na yeye alipofanya mapinduzi walishangilia.
Mwafrika hata awe askofu au sheikh mkubwa, hana nidhamu na uzalendo kumkaribia mzungu mwabudu shetani
 
BREAKING: Military coup in Congo at this moment.

The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.

Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.

DDGeopoliticsView attachment 2752729

UPDATES
Serikali imekanusha teteai zozote kuhusu majaribio ya mapinduzi nchini humo

Serikali ya Congo Brazzaville Government inayoongozwa na Rais Denis Sassou Nguesso kwenye andiko la X imekana kuhusu Mapinduzi yoyote dhidi ya Serikali hiyo

Vyombo kadhaa vya habari siku ya Jumapili vimeripoti kuhusu Mapinduzi jaribio la Mapinduzi kuendelea ndani ya nchi hiyo wakati Rais akiwa Ziarani nje ya nchi

Posti ya Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Thierry Moungalla, imekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wa Mtandao wa X.

Rais wa nchi hiyo ni Afisa wa zamani wa Jeshi, ambaye amekuwa kwenye madaraka tangu 1997
Screenshot iyo inajieleza
Chifu Hagaya kaa tayari. Mpaka sasa umeonesha kiwango duni cha Urais. Kukuacha ni kuliangamiza taifa. Bora upotee utuachie sovereignty na national wealth yetu. JWTZ ingieni kazini.
 
Safi sana sio unakuta mianajeshi ya nchi nyingine ipo ipo tu kama Tanzania nchi imetamalaki kwa ufisadi na wizi wa kutisha mianajeshi ipo ipo tu kongole kwa wanajeshi wabukinabe, Niger,mali na kwingine mapinduzi yatakako endelea.
Kupiga watu bar na wanaopotea njia kwenye maeneo ya jeshi
 
Kuna nabii mmoja alitabiri haya mapinduzi ya kijeshi kwenye mataifa ya Afrika na Kwa Tz alisema aliona wananchi wakiandama kupinga serikali kwamba imetufikisha kwenye maisha magumu. Na ndiye alitabiri kuhusu matokeo ya chanjo ya COVID 19 na kusema yote hayo yataanza kutukia katikati ya 2023 kuelekea 2024/25. Na itakapofika 2024 serikali nyingi zitaanguka. Na kuhusu korona waliochanja watakuwa ktk Hali mbaya kuliko korona yenyewe na kitakuwa na vifo vya ghafla. Huyu ndiye alitabiri pia msiba wa Hayati Magufuli. Naona Kwa upande wa mapinduzi ya kijeshi Kwa mataifa ya Afrika,Ngoma imeanza kujibu! Tusubiri yajayo! Zaidi ni kuomba Toba na rehema kwa Mungu atuepushe na dhahama hizi.
 
Denis Sassou-Nguesso (Congo)

View: https://m.youtube.com/watch?v=jUWw9BOgl0I

On May 18, 1973, Sassou-Nguesso, was made Director of the State’s Security and Minister of Defense. He was 32 years old at the time.

On March 18, 1977 Ngouabi was assassinated. The army took control of the government and, after some internal squabbles, Sassou-Nguesso was appointed president on February 8, 1979.

And lost his position in the country's first multi-party elections in 1992. However, it was through force that Sassou Nguesso again rose to the country's top office. On October 24, 1997, he overthrew his successor, Pascal Lissouba, at the end of a war that left several thousand dead and that remains a painful wound within Congolese society.

This is the story of the rise and fall and rise again of Denis Sassou-Nguesso, a man nick-named by his fellow African Leaders as the Emperor of the Republic of Congo.
 
Kwanza ni kuonesha hao walioko madarakani wasione wengine kama nyani[emoji38][emoji38]
pale juu kuna shetani mbaya sana.

bila kufahamu kwamba cheo kile na vingine ni kwa ajili ya wananchi,sahau hiki ulichoandika hapa,mama yenu si huyu hapa!!!

yaani swala la kwanza ni kutambua kwamba huna boss mwingine isipokuwa mwananchi.
 
Chifu Hagaya kaa tayari. Mpaka sasa umeonesha kiwango duni cha Urais. Kukuacha ni kuliangamiza taifa. Bora upotee utuachie sovereignty na national wealth yetu. JWTZ ingieni kazini.
Hiyo haiwezi tokea na haitokaa itokee!
 
Safi sana sio unakuta mianajeshi ya nchi nyingine ipo ipo tu kama Tanzania nchi imetamalaki kwa ufisadi na wizi wa kutisha mianajeshi ipo ipo tu kongole kwa wanajeshi wabukinabe, Niger,mali na kwingine mapinduzi yatakako endelea.
Hakuna serikali ya kijeshi hapa Afrika imewahi saidia lolote. Ona Zimbabwe walimpindua Mugabe ila walioingia ndio majizi zaidi. Hata huko Niger sijui Burkina Faso ni suala la muda tu watarudia yale Yale walioyapinga.
 
Back
Top Bottom