Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Wananchi wao wanatakiwa waanze kuzamia Russia ili wapate nako kidogo kitakachoibiwa na Serikali ya Russia huku Afrika.
 
Kusemq haupo hakuufanyi usiwepo. CCM kuudhibiti haimaanishi haupo. Amka.
CCM wamedhibiti udini gani sasa we dogo unajitambua kweli au unaropoka ?

Nikikwambia unioneshe huo udini uliopo bongo utaweza kuonesha kweli au utaleta porojo zako? Ulivyo mpumbavu unafananisha bongo na Naija kwa udini hivi unaijua hali ya Naija kiudini kweli ndio unataka fananisha na bongo ?!.
 
Sasa kama umedhibitiwa utauonaje?
 
Umedhibitiwa ki vipi ? Hauwezi kudhibiti kitu kisicho kuwepo ni lini huo uchafu unaouzungumza ulikuwepo hapa bongo ?

Dogo unataka geuza fikra zako za kipumbavu kuwa kweli, kama udini unao wewe baki nao mwenyewe kwenye kichwa chako.
Umedhibitiwa kiasi kwamba kama hauna akili za kutosha huwezi kuuona.
 
BREAKING: Military coup in Congo at this moment.

The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.

Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.

DDGeopoliticsView attachment 2752729

UPDATES
Serikali imekanusha teteai zozote kuhusu majaribio ya mapinduzi nchini humo

Serikali ya Congo Brazzaville Government inayoongozwa na Rais Denis Sassou Nguesso kwenye andiko la X imekana kuhusu Mapinduzi yoyote dhidi ya Serikali hiyo

Vyombo kadhaa vya habari siku ya Jumapili vimeripoti kuhusu Mapinduzi jaribio la Mapinduzi kuendelea ndani ya nchi hiyo wakati Rais akiwa Ziarani nje ya nchi

Posti ya Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Thierry Moungalla, imekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wa Mtandao wa X.

Rais wa nchi hiyo ni Afisa wa zamani wa Jeshi, ambaye amekuwa kwenye madaraka tangu 1997
Kama ni kweli, safi Sana, bado Uganda, Rwanda, Zimbabwe, TZ.
Arned forces zenye wajeda wenye akili kubwa, sio hawa wa kwetu,mission kubwa wanayopanga "ni kusaka nguo zinazofanana na mavazi ya jeshi" Na kupiga watu mitama!
 
JWTZ.....kama kweli ni la wananchi na wala si la "wakoloni weusi".....lapaswa kufanya kitu kunusu wa TZ....
MAISHA NI MAGUMU.
MBWA WACHACHE NDIO WANAOFAIDI.

Nipe sababu muhim za jwtz kufanya mapinduzi vinginevyo peleka ujinga wako huko huko.we tawala za kijeshi unazijua zilivyo au waropoka ili kunufaisha Jf
 
Kama ni kweli, safi Sana, bado Uganda, Rwanda, Zimbabwe, TZ.
Arned forces zenye wajeda wenye akili kubwa, sio hawa wa kwetu,mission kubwa wanayopanga "ni kusaka nguo zinazofanana na mavazi ya jeshi" Na kupiga watu mitama!
Zimbabwe tayari. tanzania hatutaki vita Mungu Epushe mbali sisi ni kisiwa cha amani.
 
Mijitu haifikirii wanazan jeshi linaeza leta maendeleo hawajui madhara ya machafuko wtz tumelogwa
Jeshi linaongoza Urusi na Korea Kaskazini wana maendeleo safi tu.

Sema sababu nyingine ila sio Maendeleo
 
Mijitu haifikirii wanazan jeshi linaeza leta maendeleo hawajui madhara ya machafuko wtz tumelogwa
Jeshi linaongoza Urusi na Korea Kaskazini wana maendeleo safi tu.

Sema sababu nyingine ila sio Maendeleo
 
JWTZ.....kama kweli ni la wananchi na wala si la "wakoloni weusi".....lapaswa kufanya kitu kunusu wa TZ....
MAISHA NI MAGUMU.
MBWA WACHACHE NDIO WANAOFAIDI.
Hawa wajomba, CCM iliisha waroga, wanachowaza ni uteuzi wakishastaafu, unakuta mtu ni Major, au, captain, lakini badala ya kubaki kwenye kazi yake mama, anapiga uchawa ili ateuliwe kwenye U RC, so pathetic
 
CCM wamedhibiti udini gani sasa we dogo unajitambua kweli au unaropoka ?

Nikikwambia unioneshe huo udini uliopo bongo utaweza kuonesha kweli au utaleta porojo zako? Ulivyo mpumbavu unafananisha bongo na Naija kwa udini hivi unaijua hali ya Naija kiudini kweli ndio unataka fananisha na bongo ?!.
Chama kinachounganisha nchi kwa misingi ya dini,ukanda,pande za muungano ni CCM tu,vyama vingine hasa cuf na chadema kimoja kinaungwa mkono na waislam wakiristo hawakiungi mkono,chadema ni Cha wakiristo waislam hawakitaki,usibishe
 
Back
Top Bottom