Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

[emoji1077]BREAKING: Military coup in Congo at this moment.

The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.

Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.

DDGeopoliticsView attachment 2752729
Hilo wimbi linapaswa lisipoe lifike mpaka Kizimkazi!
 
Mapinduzi salama ni kumteka nyoka kumficha gizani,anakuwa kama mtaji.
Bila hivyo Niger ingeshavamiwa kitambo,wanashindwa sababu watahatarisha maisha ya kibaraka wao
 
JWTZ.....kama kweli ni la wananchi na wala si la "wakoloni weusi".....lapaswa kufanya kitu kunusu wa TZ....
MAISHA NI MAGUMU.
MBWA WACHACHE NDIO WANAOFAIDI.
Kama Zimbabwe waliweza kumtoa Mugabe,mtu waliye muheshimu,inashindikana nini kwa Mwana Kizimkazi!
JWTZ wanatuangusha kwa kweli!
 
Kuna jaribio la mapinduzi la kumuondoa rais linaendelea Congo.
 
Amekaa mda mrefu sana madarakani, nadhani ile kuwa karibu na Gabon inaweza kuwa kichocheo

af.gif
 
Huwezi kuliona kirahisi sababu CCM pamoja na uovu wao wanacheza nalo vizuri sana.
Mimi kipofu sio ila wewe mzima. huo udini upo kwenye kichwa chako peke yako atleast ungeniambia kuna kuto kuelewana baina ya Watanganyika na Wazanzibar ningekuelewa ila sio huo upuuzi wa dini
 
Back
Top Bottom