Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ni kupokezana kijiti kwa familia ya Karume na Mwinyi kuwa marais wa Zanzibar.
Lakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Leo hii Zanzibar inatawaliwa kisultani tena. Maana Watawala wanarithishwa.
John Okello hatajwi kabisa kama ndie aliyemuondoa mwarabu.
Umezaliwa lini?Ulikuwepo kwenye mapinduzi au unahadithiwa kanisani ?? Huyo okello hawashi hazimi kuna watu walienda Cuba kujifundisha mambo ya kijeshi , huyo okello alienda shule gani ya kijeshi ??
Kwani wewe umezaliwa liniUmezaliwa lini?
Mapinduzi ya kitapeli
Wakati John Okello anatangaza kwenye redio kumg'oa Jamshid nilikuwepo .Kwani wewe umezaliwa lini
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,yalitekelezwa na baraza la mapinduzi,John Okello kutokana kuwa na sauti nzito,akapewa kazi kutoa tangazo la mapinduzi redioni,na script aliandikiwa, kufika redioni akajitangaza yeye kuwa ndie kiongozi wa mapinduzi,akavaa sare za kipolisi na kujipachika cheo cha Field MarshallLakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
John Okello hatajwi kabisa kama ndie aliyemuondoa mwarabu.
Kwa nini Karume hakutangaza mapinduzi akamuachia John Okello?Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,yalitekelezwa na baraza la mapinduzi,John Okello kutokana kuwa na sauti nzito,akapewa kazi kutoa tangazo la mapinduzi redioni,na script aliandikiwa, kufika redioni akajitangaza yeye kuwa ndie kiongozi wa mapinduzi,akavaa sare za kipolisi na kujipachika cheo cha Field Marshall
Alikuwa anaongea kwa ukali,wote wakawa wanamuogopa,hivyo Karume akamripoti kwa Nyerere,Nyerere akamshughulikia kwa kumrudisha kwao Lango akiwa apeche alolo hadi kifo chake。
P
John Okello alitangaza kitu gani ? Kama kweli ulikuwepo tuambieWakati John Okello anatangaza kwenye redio kumg'oa Jamshid nilikuwepo .
Unauliza nini?John Okello alitangaza kitu gani ? Kama kweli ulikuwepo tuambie
Karume hakuwepo Zanzibar siku ya mapinduzi,Kwa nini Karume hakutangaza mapinduzi akamuachia John Okello?
Kwa hiyo John Okello aliongoza mapinduzi. Leo hii Familia ya Mwinyi na Karume wanapokezana vijiti kutawala Zanzibar.Karume hakuwepo Zanzibar siku ya mapinduzi,
P
Kiswahili kimeanza kukupiga chenga?Unauliza nini?
Kheri ya mwaka mpya kakaMapinduzi Matukufu ya Zanzibar,yalitekelezwa na baraza la mapinduzi,John Okello kutokana kuwa na sauti nzito,akapewa kazi kutoa tangazo la mapinduzi redioni,na script aliandikiwa, kufika redioni akajitangaza yeye kuwa ndie kiongozi wa mapinduzi,akavaa sare za kipolisi na kujipachika cheo cha Field Marshall
Alikuwa anaongea kwa ukali,wote wakawa wanamuogopa,hivyo Karume akamripoti kwa Nyerere,Nyerere akamshughulikia kwa kumrudisha kwao Lango akiwa apeche alolo hadi kifo chake。
P