Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Haya ndo maajabu ya afrikaKiongozi wa mapinduzi kakimbia mapinduzi.
Ambaye ameshindwa ndo shujaa na hii precedent mpaka leo ipo
Haya ndo maajabu ya afrikaKiongozi wa mapinduzi kakimbia mapinduzi.
Ndo maama nayeye watoto wake nao wamefanyiwa kama alivyowafanyia wenzakeKambarage alikuwa mjanja sana yaani alimtumia Okello na Kambona then akawa dampo. So sad
Baba yake karume ni mnyasa aliyetokea huko nyasa ruvuma akaamia zaznzibarNi kwa sababu waliofanya Mapinduzi/ mavamizi ni watu kutoka Tanganyika
Karume Hakuja na Baba yake alikuja na mama yake. Hilo jina la Baba hata wengine wanasema ni la kupewa tu. Unaongelea Yusuphu Makamba ? Kwani Leo naye ni Mzanzibari ?Baba yake karume ni mnyasa aliyetokea huko nyasa ruvuma akaamia zaznzibar
Majority ya wazanzibar weusi mababu zao wametokea huku bara wengine walipelekwa wakati wa utumwa wengine walienda kwa harakati za maisha
Mzee yusuphu majuzi alisema aliambiwa babu zake wametokea mwanza means alikuwa msukuma na alikuwa anaitwa mihambo
Mzee yusuphu mwimba taratibuKarume Hakuna na Baba yake alikuja na mama yake. Hilo jina la Baba hata wengine wanasema ni la kupewa tu. Unaongelea Yusuphu Makamba ? Kwani Leo naye ni Mzanzibari ?
Majina hayo ya Yusuphu mwimba si ya Kizanzibari , inasemekana ni watu wa Zimbabwe au Malawi hayo anayosema ni kweliMzee yusuphu mwimba taratibu
Karume hata yeye anasema ni mnyasa asili yake ni ruvuma
mzee mwinyi naye kazaliwa mkuranga ila alihamia zanzibar akiwa mdogo
Ni kweli, kati ya wahanga waliouliwa wakati wa utawala wa dikteta Idi Amin John Okelllo alikuwa miongoni mwa hao wahanga.Aliambatana na Iddi Amin na baadae Amin aliona Okello kama tishio akamuua na mwili haukuonekana hadi leo. Okello ana bahati mbaya sana.
Alikuwa wapi?Karume hakuwepo Zanzibar siku ya mapinduzi,
P
John Okello ndio baba wa Taifa la Zanzibar. Sema ud
Si mmeshaambiwa kwamba walikimbilia Tanganyika kujificha ili kuokoa roho zao.Alikuwa wapi?