AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Okello aliwaambia wenzie kwamba tunapofanya haya mapinduzi ueni vijana wa kiarab/kiasia kuanzia miaka 18 hadi 25 ila wajawazito na wazee msiue wala msiwabake mabinti mabikra.. sasa unajua nini kilifuata? alipowaambia waelekee Stone Town, Capital City of Zanzibar ambako Sultan alikua anaishi.. jamaa yaan [wafuasi] wa Okello (sio Okello) ukiacha mbali kuharibu mali na kuchoma majumba [waliwabaka] wanawake wengi sana ikiwemo mabikra.. ugomvi wa Karume na Okello.. siku ya Mapinduzi sio Karume wala sio Babu waliokua wanajua kuhusu Mapinduzi maana Karume na Babu wote walikua Dar.. Okello akafanya yake akatangaza redioni Sultan aiue familia yake kisha na yeye mwenyewe ajiue la sivyo Okello atamsaidia kufanya hivyo.. Okello baada ya kuzinguana na Karume baada ya Karume kua Rais alimtimua Okello Zanzibar kwa sababu Zanzibar ni Wapemba na Wazanzibar akatakiwa kurudi kwao Uganda.. Okello akapitia Kenya, Zaire kisha akaingia Uganda.. Okello anaenda kukutana na Mtiti wa Iddi Amini Dada wa Uganda.. baada ya kutoka Zanzibar kwa kutimuliwa na Karume alipokua Zanzibar Okello alijipa u-Field Marshal baada ya kumpindua Sultan kwa hio km [pongezi/zawadi] baada ya kuonekana [ha-fit] kwenye masuala ya kisiasa alipewa title ya Field Marshal Okello na Rais Karume baada ya kuzinguana nae tarehe 11 March akavuliwa u-Field Marshal sasa alipofika Uganda na kukutana na Iddi Amin [akamtania] Iddi Amini ambae pia alikua anajiita Field Marshal kwamba "sasa Uganda ina ma-Field Marshal [wawili].." Iddi Amini kusikia hivyo akainusa hatari akaona isiwe kesi (akampoteza Okello) akiwa na miaka 33 kuelea 34 baada ya kuonekana na Iddi Amin Okello hakuwahi kuonekana tena.. mwaka 1971 ndio mara ya mwisho Okello kuonekana baada ya kuonekana na Iddi Amin na ndio mwaka Iddi Amin alijitangaza u-Field MarshalLakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Siyo huyo tu ...hata nyerere awamshukuru tatizo ni Unasara wao yaani wakristo ....Ni kupokezana kijiti kwa familia ya Karume na Mwinyi kuwa marais wa Zanzibar.
Lakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Leo hii Zanzibar inatawaliwa kisultani tena. Maana Watawala wanarithishwa.
John Okello hatajwi kabisa kama ndie aliyemuondoa mwarabu.
Angetangaza vipi na wakati kwa muda wote wa kufanyika kwa hicho wanachokiita "mapinduzi", alikuwa amejificha Msasani, nyumbani kwa Mwalimu!Kwa nini Karume hakutangaza mapinduzi akamuachia John Okello?
Hata Nyerere mwenyewe wanamtukana na kumlaani kila siku!Hata Tanganyika anatajwa Nyerere tu,wakati ni wengi sana walivuja jasho,Taifa letu mambo kutokuwa wakweli ni jambo la kihistoria
Bila Okelo leo hii wazenji wasingekua wanasherekea mapinduzi.Ni kupokezana kijiti kwa familia ya Karume na Mwinyi kuwa marais wa Zanzibar.
Lakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Leo hii Zanzibar inatawaliwa kisultani tena. Maana Watawala wanarithishwa.
John Okello hatajwi kabisa kama ndie aliyemuondoa mwarabu.
Asante,heri na kwako na familia yakoKheri ya mwaka mpya kaka
Kumbe jamaa alipewa nafasi na kutangaza akaona asafirie nyota ya mapinduziJohn Okello kutokana kuwa na sauti nzito,akapewa kazi kutoa tangazo la mapinduzi redioni,na script aliandikiwa, kufika redioni akajitangaza yeye kuwa ndie kiongozi wa mapinduzi,akavaa sare za kipolisi na kujipachika cheo cha Field Marshall
Yes, ni alijiongeza na kuchangamkia fursa, kwa kuzingatia kiongozi halisi wa Mapinduzi hayo Abedi Amani Karume, alikuwa ameyakimbia Mapinduzi hayo na kujificha bara, baada ya Mapinduzi Matukufu kufanikiwa, Karume akarejea Zanzibar, akukuta Okello ameishajitangaza ndiye kiongozi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ikambidi awe mpole, akarejea bara kumhadithia Nyerere, ndipo Nyerere akamtumiaKumbe jamaa alipewa nafasi na kutangaza akaona asafirie nyota ya mapinduzi
Kiongozi wa mapinduzi kakimbia mapinduzi.
Sababu Nyerere alipoona John Okello bado anafanya ubakaji na mauaji alimuondoa na kumpeleka kwao Uganda.Ni kupokezana kijiti kwa familia ya Karume na Mwinyi kuwa marais wa Zanzibar.
Lakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Leo hii Zanzibar inatawaliwa kisultani tena. Maana Watawala wanarithishwa.
John Okello hatajwi kabisa kama ndie aliyemuondoa mwarabu.
Bila okelo kuenziwa, sherehe za mapinduzi zanzibar ni fekiNi kupokezana kijiti kwa familia ya Karume na Mwinyi kuwa marais wa Zanzibar.
Lakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Leo hii Zanzibar inatawaliwa kisultani tena. Maana Watawala wanarithishwa.
John Okello hatajwi kabisa kama ndie aliyemuondoa mwarabu.
Kuandika kwenyewe hujui utajadiliana na naniUlikuwepo kwenye mapinduzi au unahadithiwa kanisani ?? Huyo okello hawashi hazimi kuna watu walienda Cuba kujifundisha mambo ya kijeshi , huyo okello alienda shule gani ya kijeshi ??
Hicho ndicho chuo cha kijeshi alichosomea Okello?Kuandika kwenyewe hujui utajadiliana na nani
Kuna wanaodai kuwa wakati mapinduzi hayo yakifanyika Abeid Karume walikuwa Msituni wamejificha hivyo hawakushika hata kiwembe katika Mapinduzi yale.Yes, ni alijiongeza na kuchangamkia fursa, kwa kuzingatia kiongozi halisi wa Mapinduzi hayo Abedi Amani Karume, alikuwa ameyakimbia Mapinduzi hayo na kujificha bara, baada ya Mapinduzi Matukufu kufanikiwa, Karume akarejea Zanzibar, akukuta Okello ameishajitangaza ndiye kiongozi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ikambidi awe mpole, akarejea bara kumhadithia Nyerere, ndipo Nyerere akamtumia
Ndege Okello kuja Dar, kufika tuu Dar alikula pingu, akanyanganywa
Yes, ni alijiongeza na kuchangamkia fursa, kwa kuzingatia kiongozi halisi wa Mapinduzi hayo Abedi Amani Karume, alikuwa ameyakimbia Mapinduzi hayo na kujificha bara, baada ya Mapinduzi Matukufu kufanikiwa, Karume akarejea Zanzibar, akukuta Okello ameishajitangaza ndiye kiongozi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ikambidi awe mpole, akarejea bara kumhadithia Nyerere, ndipo Nyerere akamtumia
Ndege Okello kuja Dar, kufika tuu Dar alikula pingu, akanyanganywa silaha, akavuliwa vyeo, akarudishwa Uganda hadi vijijini kwao kwenye kijumba chake cha tope na nyasi hadi kifo chake.
P