Uchaguzi 2020 Mapingamizi halali kisheria dhidi ya mgombea nafasi ya Urais

Mapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.

Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
Mahakama ya Kikatiba ya Afrika Kusini mwezi Juni mwaka huu ilibatilisha sheria inayozuhia wagombea binafsi katika kesi New Nation Movement NPC and Others v President of the Republic of South Africa and Others[ 2020] ZACC 11, hivyo, wagombea binafsi wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi nchini Afrika Kusini.
 
Hongera Sana mkuu umefanya Jambo la maana kuweka hadharani ili tume , wakifanya ujinga dunia nzima ijue.
 
na hii ndiyo sifa ya jf hoja kwa hoja, safi sana mkuu
 
Halaf kwanini wanatamani sana Lissu aenguliwe? Kiberenge si amejenga madaraja? Sasa hofu yao inatokana na nini
 
GREAT POST.
 
Tunakushukuru sana kwa vielelezo
 
Wana wa Mtaa wa Lumumba Buku7,

Hakuna kitu kama hicho Tundu Lissu lazima agombee.

Mlisema hatakuja, kaja toka Belgium.

Mlisema msaliti hana mvuto wa kisiasa, imebainika siyo kweli.

Mlisema siku ya Sikukuu ya Nane Nane Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Dodoma itakuwa imefungwa, Tundu Lissu alikuta ipo wazi.

Mlisema hati yake ya Kiapo haitasainiwa na Jaji wa Mahakama Kuu Dar es Salaam , jana fomu zake za kiapo zimesainiwa.

Mmepanga kumuita Kisutu tarehe 26 August 2020, Tundu Lissu hawezi kutokea kwa udhuru wa jambo muhimu ktk mchakato wa kuelekea uchaguzi 2020.

Mnasema tarehe 26 August 2020 hatatambuliwa kama mgombea rasmi wa Urais kupitia CHADEMA 2020, Tundu Lissu atatambuliwa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa na ndiyo itakuwa siku ya kusitisha tuhuma zote za mahakamani mpaka baada ya uchaguzi tarehe 28 Oktoba kumalizika.

Wagombea wanaotambuliwa na Tume ya Uchaguzi 26 Agosti tuhuma za mashtaka yao yatasitishwa kwa kinga maalum ili sisi waTanzania tuweze kushiriki kumpigia kura maana tuhuma ya kesi siyo kigezo cha kumuondolea haki yake kuchaguliwa kwani tuhuma siyo ukweli mpaka pale tu atakapo hukumiwa ndiyo sifa inakosekana.

Updates 22 Agosti 2020
TUNDU LISSU "NITAENDA KISUTU, NIKIKAMILISHA TENDO LA KATIBA KWA UKAMILIFU"
 
Jiwe asijaribu kutuvuruga kupitia hiyo TUME YAKE YA MFUKONI, aache demokrasia ichukue mkondo wake ili tuchague Mgombea tumtakaye.

Wachumia tumbo kama wewe inabidi mkubaliane na hali halisi, Utawala wa Mkono wa Chuma sasa basi..
MWAKA HUU HAMJASUSIA TUME??
 
Jiwe asijaribu kutuvuruga kupitia hiyo TUME YAKE YA MFUKONI, aache demokrasia ichukue mkondo wake ili tuchague Mgombea tumtakaye.

Wachumia tumbo kama wewe inabidi mkubaliane na hali halisi, Utawala wa Mkono wa Chuma sasa basi..
Jana na leo shughuri hazijafanyika huku niliko, kisa kitambulisho cha WAMACHINGA! Waendesha baiskeli kwa kubeba abilia, Shinyanga mjini hawana hamu! Bila kitambulisho hicho, unanyang'anywa baiskeli yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…