Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itamuhusu Mr SpundaMapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.
Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
Amemuiga magufuli kuanza kampeni mapemaMATAGA,Lissu anaingia wapi hapo kwa hoja ya kufanya kampeni kabla ya wakati?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?
Sasa kuna maana gani ya kumuwekea pingamizi mtu asigombea na hapo hapo tayari anatambulika/anatajwa kama mgombea?
Je,tumekosa msamiati wa kiswahili katika hili au mimi ndio sielewi?
Katiba ikijikanganya si kwamba katiba inakuwa kinyume na katiba.Ni Kweli katiba inaweza KUJIKANGANYA, lakini hatuwezi kusema Katiba iko Kinyume na Katiba yenyewe kwa yenyewe.
Kusema katiba iko kinyume na katiba ni sawa sawa na kuchomoa matairi ya gari na kutegemea liendelee kutembea.
Unachosema ni sahihi, lakini nadhani neno lenyewe ndio hasa linaleta ukakasi.
Hata majaji wengi, katika mashauri mbalimbali ya kikatiba, huwa wanaogopa sana kulitamka hilo neno la kwamba Katiba iko Kinyume na Katiba.
Lakini ukweli ni kwamba, katiba inaweza kuwa kinyume na Katiba. Ibara moja kujikanganya na ibara nyingine.
Wanachofanya ni kuzipa ibara zenye mkanganyiko "tafsiri suluhishi" (harmonious interpretation?)
Yes, you are right!
Kuanza Kampeini mapema (pre-mature election campaign) sio kosa chini ya sheria za uchaguzi za Tanzania. Kuanza Kampeini mapema hakumuondolei mtu sifa za kugombea Urais katika Sheria za Uchaguzi za Tanzania.
Kuanza Kampeini mapema ni kosa chini ya sheria za ndani za CCM lakini sio kwenye sheria za nchi.
So na ujanja wako wote huo unasubiri hayo yatokee kisha ukakojoe ukalale badala ya kuja na mechanism ya kukabiliana na huo uhuni.Mkuu
Election Commision ipo ndani ya mifuko ya mwenye enzi kuu duniani....
Itapigwa simu au text msg atakatwa mtu.....ni lazima...
Dictator yeyote duniani ni muoga kupita maelezo kuona kwenye sanduku la kura kuna jina la worthy challenger.....
Taasisi zote zipo held by the balls na mwenye enzi duniani na mbinguni....
Utaona vituko sana...just wait and seee!
Electoral Commision itakua weaponized to delete the threatening candidate to the dictator.....
Spunda amefanya nini? Yeye ana chama chake mbona?Hii itamuhusu Mr Spunda
Mkuu
Election Commision ipo ndani ya mifuko ya mwenye enzi kuu duniani....
Itapigwa simu au text msg atakatwa mtu.....ni lazima...
Dictator yeyote duniani ni muoga kupita maelezo kuona kwenye sanduku la kura kuna jina la worthy challenger.....
Taasisi zote zipo held by the balls na mwenye enzi duniani na mbinguni....
Utaona vituko sana...just wait and seee!
Electoral Commision itakua weaponized to delete the threatening candidate to the dictator.....
Hapo namba 15 inaondoka na lisu.
Unaelewa maana ya gharsma ya uchaguzi?Hapo namba 15 inaondoka na lisu.
tumia akili mkuu na usome upya, tundu lissu anaafuta wadhamini wafike 200 au kuendelea mikoa 10 ni mojawapo ya sifa zilizo ainishwa Apo juu.MATAGA,Lissu anaingia wapi hapo
hoja ya kufanya kampeni kabla ya wakati?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?
Sasa kuna maana gani ya kumuwekea pingamizi mtu asigombea na hapo hapo tayari anatambulika/anatajwa kama mgombea?
Je,tumekosa msamiati wa kiswahili katika hili au mimi ndio sielewi?
Hahahaha [emoji23], hii sasa ndoto.Yaani CCM nawahurumia sana
Na mwaka huu tume haitakubali kuwabeba upepo ukiwa mbaya yaani mtapata tabu Sana
Lissu atapitishwa tena mapema Sana hakuna mtu ambaye haipendi Tanzania ambaye atakubali ujinga kuchafua nchi.
Sio tume sio watu wa usalama mwaka huu watu wanasimama na umma.
Watakuwa wanapata otherwise hawawezi kuruhusiwa kushiriki uchaguzi.Mi huwa najiuliza wale kina hashim eungwe huwa wanapata wadhamini 200 kwa mikoa 10 kweli...?
Si uzitaje??Ukiangalia hapo mbona kuna kanuni nyingi tu ambazo zinamgusa mtu kabla hajateuliwa na tume.
Hata Mungu kuna nyakati inabidi "atumie nguvu" ili akili zikukae vizuriJana na leo shughuri hazijafanyika huku niliko, kisa kitambulisho cha WAMACHINGA! Waendesha baiskeli kwa kubeba abilia, Shinyanga mjini hawana hamu! Bila kitambulisho hicho, unanyang'anywa baiskeli yako!
Mbona mnatia huruma hivyo! Lissu tunamkatafunua kwenye sanduku mapema sana ili azidi kuchanganyikiwa! TL hawezi kuwa Raisi wa Tanzania, labda awe raisi wa Twitter.Mkuu