lenyu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 447
- 497
Devotha Ninja chadema morogoro kafutwa kwa sababu ya kosa Hilo apo unasemajeTundu Lissu na usomi wake aliweka pingamizi kuwa fomu ya mgombea wa Ccm haina picha na haikuwakilishwa kwa mujibu wa sheria. Je hii inaingia akilini kweli!
Haki huinua Taifa