Uchaguzi 2020 Mapingamizi ya Tundu Lissu yalikaa kienyeji sana yalijikita kwenye ujazaji wa fomu badala ya kilichojazwa

Tundu Lissu na usomi wake aliweka pingamizi kuwa fomu ya mgombea wa Ccm haina picha na haikuwakilishwa kwa mujibu wa sheria. Je hii inaingia akilini kweli!
Devotha Ninja chadema morogoro kafutwa kwa sababu ya kosa Hilo apo unasemaje

Haki huinua Taifa
 
Hivi kwenye Kichwa chako kumejaa Ubongo au matope...kwa Ujinga huu Vilaza wa CCM mtaendelea kuaibika, msaidieni mgombea wenu ajifunze kuheshimu Sheria asije akaishia jela huko mbele ya Safari...

Anafikiri Uchaguzi ni kupita barabarani na magunia ya hela na kugawa hovyo hovyo kama alivyozoea
 
Wazee wa flaiova, stigilazi na treni ya umeme mkatae mkubali this time mmepatikana na mmekosa come back ya maana tuendelee kushukuru wateule hii ndio mjifunze kuwa hizi sheria na taratibu mbovu mnazoweka ipo siku zitawashughulikia Nyie wenyewe😂😂😂😂😂😂
Maendeleo hayana chama
 
Devotha Ninja chadema morogoro kafutwa kwa sababu ya kosa Hilo apo unasemaje

Haki huinua Taifa
Toa maelezo yaliyokamilika usiwe kama mtu asiye na ubongo. Fomu za mgombea wa Ccm zilikuwa hazina picha? Hazikuwakilishwa kwa mujibu wa sheria?
Huyo Devotha fomu zake zilikuwa na picha? Kama zilikuqa na picha weka ushahidi
 
Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba.
Hizo taarifa muhimu ni pamoja na viambatanisho vyote vinavyohitajika kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.

Hoja yako ni ipi?
 
Tundu Lissu na usomi wake aliweka pingamizi kuwa fomu ya mgombea wa Ccm haina picha na haikuwakilishwa kwa mujibu wa sheria. Je hii inaingia akilini kweli!
Kosa hilo hilo ndilo lililomwengua Devotha Minja kule Morogoro!! Labda kwa watu wazito kuelewa Sawa tu, lakini wenye akili wanajua kwamba Lisu ameweka record na starndads kwenye mapingamizi! Itakua vigumu tume kuengua wapinzani kwa mapingamizi ya kijinga! Hiyo inaitwa kukaangwa na mafuta yako mwenyewe!
 
Eti na wewe mjuaji! Toka mafichoni tuwawekeni kwenye mdahalo na lissu

Ova
 
Tanzania sheria kama hizo hutungwa kwa ajili ya watu flani ila ikitugonga sisi hiyo sheria ni batili
 
Watz wanaowajibu wa kuukomesha uhuni ufanywao na Hawa wakurugenzi ili kudumisha amani yetu, wagombea wa ccm baada ya kuona hawana uwezo wa kushinda utumia pesa zao za kampeni kuwahonga wakurugenzi na polisi ili wapite bila kupingwa kwa kuwanyima wananchi haki ya kuchagua viongozi wawatakao huu Ni uhuni,
 
Zimekosewaje?

Ina maana Loketo alizipitia forms za JPM na kukuta zina makosa?

Yataje makosa hayo
 
Mbona mnakuwa kama walevi wa Konyagi? Jibu swali Fomu ya mgombea wa Ccm haikuwa na picha?
 
Haya mnayowakata wagombea ubunge na udiwani wa CDM yamekaaje?
 
mim ni ngeni jamani naomba walau ka video nilione pingamizi yeyote mwenye video atusaidie jamani
 
Pamoja na tambo zake kwamba ni mmbobezi wa sheria za uchanguzi + uzoefu wake wa kutetea wagombea, pingamizi zake hazikua na substance! Pingamizi hizo zilipaswa zitolewe na mgombea wa serikali ya kijiji dhidi ya mgombea mwenzake sio katika level ya urais
 
JohntheBaptist, wewe ni mwelewa.

John Pombe Magufuli ameshushwa kutoka kwenye Kiti cha enzi na kuwa Mgombea wa kawaida, kwa sababu, ukweli ni kwamba, huyu Mgombea amezitetemesha sana familia nyingi.

Nchi nzima ilipata ganzi kumsikiliza Tundu Lissu akivitaja vifungu vilivyokosewa hivyo kumfanya yeye awasilishe pingamizi.
Na badala ya kumtaka Mgombea John Magufuli ajitetee, Tume imeingiwa na hofu, ikaogopa kumtaka ajitetee.

Tundu Lissu anastahili pongezi kwa kutuondolea hofu, na sasa tunamuona John Magufuli kama Mgombea mwingine yeyote, kama tunavyomuona Ibrahim Lipumba
 
mgombea anaweza kuonekana hana sifa kwa mfano mtu aliyetoka jela kwa kosa la jinai/rushwa hivi karibuni.
Inachekesha, hasa hapo unaposema jivi karibuni. Kwa hiyo kama si hivi karibuni kosa linafutika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…