Mapishi kwa asiyejua

Mapishi kwa asiyejua

Ndio maana naipenda JF. Ahsante sana hapa nimesha Print na lunch ya leo naweka kwenye gari kabisaaa tayari kwa kufanya mambo weekend.

Members kama nyinyi mnaotumia muda wenu na resources zenu kutusaidia na kutuelimisha, Allah Awabariki Sana na Mpate zaidi na zaidi maana kupata kwenu ni manufaa yetu sote. Ntakuja na feedback after this weekend

Mkuu, ala huyu huyu wa alshababu, boko haramu na alquida au kuna mwingine?
 
Yaani umenichekesha.................. Ndio maana ya kujaribu ila pia huenda watoto wakanikubali kuliko hata mama yao kwenye mambo ya mapishi.

Kama idea ipo, hapa ni kutaka tu kwenda kujaribu kitu tofauti sawa.....Ila kama hapa ndio pa kuanzia jamani....aah, hata hao watoto wataumizwa bwana.....Na huyo mama mwenye nyumba itabidi ajikaze tu ili kukufurahisha...uongo?

Jaribu mwaya.....nilikuwa naogopa tu gharama ya surprise...
 
Ndio maana naipenda JF. Ahsante sana hapa nimesha Print na lunch ya leo naweka kwenye gari kabisaaa tayari kwa kufanya mambo weekend.

Members kama nyinyi mnaotumia muda wenu na resources zenu kutusaidia na kutuelimisha, Allah Awabariki Sana na Mpate zaidi na zaidi maana kupata kwenu ni manufaa yetu sote. Ntakuja na feedback after this weekend
Mkuu ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom