KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ndio maana naipenda JF. Ahsante sana hapa nimesha Print na lunch ya leo naweka kwenye gari kabisaaa tayari kwa kufanya mambo weekend.
Members kama nyinyi mnaotumia muda wenu na resources zenu kutusaidia na kutuelimisha, Allah Awabariki Sana na Mpate zaidi na zaidi maana kupata kwenu ni manufaa yetu sote. Ntakuja na feedback after this weekend
Mkuu, ala huyu huyu wa alshababu, boko haramu na alquida au kuna mwingine?