Maweeeee aisee ntake radhi kwa hasira leo naenda kuzipika hzo zitakuwa cha mttSijui ni macho yangu au roho mbaya yangu! naona round hujaipatia kabisa muombe akuelekeze how to round them, [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] ila umewazidi hata ke wangi wa humu
@CIkey
Utanitumia nizia prove [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maweeeee aisee ntake radhi kwa hasira leo naenda kuzipika hzo zitakuwa cha mtt
Sijui ni macho yangu au roho mbaya yangu! naona round hujaipatia kabisa muombe akuelekeze how to round them, [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] ila umewazidi hata ke wangi wa humu
@CIkey
Maweeeee aisee ntake radhi kwa hasira leo naenda kuzipika hzo zitakuwa cha mtt
hizo chapati za watu wangapi na walio nchi gani, AFRICA NINAVOJUA FOOD IS QUANTITY
sitashibaaaaaHahahah mkuu hapo unanionea wivu tu mkuu! Usiwe kama FaizaFoxy
Ushahidi wa picha nimuhimu. Ikiwezekana tafuta mwana JF aishiye karibu nawe aje kuzi-test! Raha ya chapati ule na mtu, si peke yako.
Kwa vipimo hivyo unatoa chapati nne (nene nene) au kwa wale wapenzi wa chapati nyepesi basi zitatoka sita.
Huo sasa ukorofi kwani si napika kimya kimya tu mwenyewe mwenyewe basiUtanitumia nizia prove [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Khaaa jamanii...Jifunze um-surprise my-husband-wako.
Mhh! Walisema kipimo cha mke bora basi ni mapishi yake ya chapati, sasa kama hujui kupika kabisa...sijuiiii!!!
Huyo bwana simwamini naweza jitahidi akanisema cjazipika vzr ntaita jirani aonjemh shemeji...mkaribishe braza aonje. Ukila kimya kimya hutajua kama umepatia ama la!
Mimi nimejaa tele hata sijafichwa mpendwa. Amen na kwako piampendwa ulifichwa wapi wewe!?
Heri ya mwaka mpya kwanza....
Teh teh teh hiyo siyo round about mkuu jaribu tena, kipimo kikuu cha chapati ni round hayo mengne ya uzi uzi sijui laini ni matokeo tu ya moto wako na aina ya ukandaji, Mentor FaizaFoxy njoo unisaidie kumpa mboko huyu kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah mkuu hapo unanionea wivu tu mkuu! Usiwe kama FaizaFoxy
Ushahidi wa picha nimuhimu. Ikiwezekana tafuta mwana JF aishiye karibu nawe aje kuzi-test! Raha ya chapati ule na mtu, si peke yako.
Kwa vipimo hivyo unatoa chapati nne (nene nene) au kwa wale wapenzi wa chapati nyepesi basi zitatoka sita.
Mwenyewe mwenyewe unajikosoa au utajipa moyo? nilete nizipitishe katika viwango vya kimataifaHuo sasa ukorofi kwani si napika kimya kimya tu mwenyewe mwenyewe basi
Mwenyewe hujui kupika usinizingue hapa chapati chapatiMwenyewe mwenyewe unajikosoa au utajipa moyo? nilete nizipitishe katika viwango vya kimataifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] Hadi hapo nishajua hamna kitu kwakoHuyo bwana simwamini naweza jitahidi akanisema cjazipika vzr ntaita jirani aonje
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] lkn c nlisema toka mwanzo cjui ww unalazimisha njue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] Hadi hapo nishajua hamna kitu kwako
4 hadi 5unashiba chapati ngapi mkuu?
Watu kama nyie ndo mnafanya mama ntilie waweke hamira kwenye chapati au wazikaange na mafuta mengi...hata usiposhiba, utakinai!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bravo bibi, bora umekuja ww maana kila nikimwambia mimi naona haelewi Mentor Njoo uchukue mawaidha kwa mkongweNdiyo maana nikasema zisizo na ubora.
Ubora wa chapati ni huo mduara wake, wembamba na wepesi wake (chapati hazitakiwi ziwe nene na hazitakiwi ziwe nzito hata kidogo). Cha mwisho ni layers, chapati ni lazima ziwe na layers tatu kwa uchache, hapo ni utaalam wa kukunja.
Mentor,
Chapati zako kwenye picha tu zimekosa yote hayo na zinaonesha ni mabumunda.
Aliyekufunda hajafundika.