Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ila kupika halitaki tehToto linapenda kula hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kupika halitaki tehToto linapenda kula hili.
Amenitamanisha sana kupika..Pika basi chapati nije kula.
Amenitamanisha sana kupika..Pika basi chapati nije kula.
Saa12 asubuhi nishatia timu[emoji39] [emoji39]Amenitamanisha sana kupika..
Kesho asubuhi ukuje..
Kupika napo chaaaah!!Ila kupika halitaki teh
Sijui nimerogwa siku hizi, kupika shida, kula shida. Kimwili chenyewe kinavyokongoroka mweeeKupika napo chaaaah!!
UtanipitiaSaa12 asubuhi nishatia timu[emoji39] [emoji39]
Tutawahi kweli kuja[emoji39] [emoji39]Amenitamanisha sana kupika..
Kesho asubuhi ukuje..
Kupika chakula cha mmoja napo yataka moyo, ghafla unajisikia kushiba tu.Sijui nimerogwa siku hizi, kupika shida, kula shida. Kimwili chenyewe kinavyokongoroka mweee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utanipitia
Tutawahi kweli kuja[emoji39] [emoji39]
Yani nikiwa home ndo kabisaaaa, chai saa 7 sijuiKupika chakula cha mmoja napo yataka moyo, ghafla unajisikia kushiba tu.
Utaamini tu mijicho yako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sitaki kuamini!
Kama niko busy basi hata saa10 jioni ndio nahisi njaa.Yani nikiwa home ndo kabisaaaa, chai saa 7 sijui
Nitakubebea take away bwana, hadi siku nyingine tusikaribishwe!!Utaamini tu mijicho yako
Tena wengine huwa wanaweka na custard powder kidogo,zinakua na radha tamu kweli.Duh punguza majivuni spinderella my dear,
Sote tunajifunza. Kuhusu origin ya chapati hata hao wa pwani walikopa kutoka kwa wahindi wakaiboresha.
Si vibaya mtu akiongeza a pinch of suga ama iliki vyote ni ili kuboresha chapati yako. Akiweka yai ama maziwa na ikatoka chapati bado sijaona lililoharibika. Hakuna definition moja ya chapati.
Basi nadhani ni sahihi kuhitimisha kuwa ubaridi/jotoridi la maji haliathiri chochote kwenye chapati yako ila ukandaji wako.
Nashukuru kwa hili.
Huu urafiki nadhani umeupingua siku nyingi....you know woramseying!Mentor ndo uchoyo wako uko hivi? Nimepingua urafiki na wewe
Asante sana Patience123 thank you. Nitajaribu kufanya ulivyosema next time. Thanks once more.Umejitahidi sana mentor...
Naamini next time utafanya vizuri zaidi.
Pia samli ni nzuri kwa kukandia chapati,unaipasha vizuri unakandia na kuviringishia badala ya mafuta ya kawaida. Pia wakati wa kuichoma uwe unaikandamiza kwenye frying pan na kijiko ili hiyo iwe brownish ienee zaidi.
Hongera.
Huu urafiki nadhani umeupingua siku nyingi....you know woramseying
Huu urafiki nitahitaji ufafanuzi wake dota.Aaaaaah Mungu anakuona, naanzaje kupingua kwa mfano
Abeeee[emoji102] [emoji102]. Ni urafiki wa kalamu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huu urafiki nitahitaji ufafanuzi wake dota.
Sijasema nahitaji sasa tafadhali.Abeeee[emoji102] [emoji102]. Ni urafiki wa kalamu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unahitaji baadaye kumbe?Sijasema nahitaji sasa tafadhali.