Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ndio.Unahitaji baadaye kumbe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.Unahitaji baadaye kumbe?
Sawa.Ndio.
Mentor kumbe mkeo Evelyn Salt!!Kwa kibali cha mke wangu, unakaribishwa sana BlessedHope
Binafsi nilichojifunza what matters ni ukandaji,ukitaka chapati iwe laini na kuchambuka vizuri sana lazima utumie muda mrefu kwenye kukanda,haijalishi umetumia maji moto au baridi,umetumia mafuta ya moto au baridi,zingine mbwembe tu uongeze butter au blueband ni kuirembesha zaidi lakini msingi mkuu ni ukandaji.Pia wengine wanasema ukitaka ichambuke zaidi weka donge lako kny freezer ifunike vizuri na karatasi uje uitumie kesho.....hii sijajaribu ila maji baridi kabisa niliwahi kujaribu ndo nikatoka na iyo conclusion ukandaji wa muda mrefu ndo mambo yote.Ni sahihi swali lako. labda ambaye amewahi kupika chapati kwa kutumia maji baridi aje atueleze pia itatusaidia.
Cc: espy miss chagga Dinazarde Mkunde Original Nifah sister everlenk MziziMkavu Nyani Ngabu
Wazee wa kuchakachua uzi nimewamiss!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Utaamini tu mijicho yako
Kama niko busy basi hata saa10 jioni ndio nahisi njaa.
Nitakubebea take away bwana, hadi siku nyingine tusikaribishwe!!
Wewe si umetutenga bana lol. Umejificha wapi jamani, tumeku-hamu mnoooo.Wazee wa kuchakachua uzi nimewamiss!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani tulivyokuhamu sio kipole pole.Wazee wa kuchakachua uzi nimewamiss!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bado nasubiri ufurahi upike chapati nije kula.Binafsi nilichojifunza what matters ni ukandaji,ukitaka chapati iwe laini na kuchambuka vizuri sana lazima utumie muda mrefu kwenye kukanda,haijalishi umetumia maji moto au baridi,umetumia mafuta ya moto au baridi,zingine mbwembe tu uongeze butter au blueband ni kuirembesha zaidi lakini msingi mkuu ni ukandaji.Pia wengine wanasema ukitaka ichambuke zaidi weka donge lako kny freezer ifunike vizuri na karatasi uje uitumie kesho.....hii sijajaribu ila maji baridi kabisa niliwahi kujaribu ndo nikatoka na iyo conclusion ukandaji wa muda mrefu ndo mambo yote.
BTW hongera sana Mentor kwa kweli uko juu,mi shughuli ya chapati siipendi mostly napenda za maji siku nikipika za kusukuma siku hiyo nimefurahi kweli.
Serikali ya awamu ya tano no bando za muchezo muchezo[emoji85]Wewe si umetutenga bana lol. Umejificha wapi jamani, tumeku-hamu mnoooo.
Yaani tulivyokuhamu sio kipole pole.
Sijui nani kakukamata kweli kweli!!
Looooh!!! Utasubiri sana maana na hii diet siyo muchezo usije nitega bureeeeee!! Au tupike brown chapati hahahha......Bado nasubiri ufurahi upike chapati nije kula.
Happy valentine dears,lov u mingi mingi[emoji8]Yaani tulivyokuhamu sio kipole pole.
Sijui nani kakukamata kweli kweli!!
Wewe si umetutenga bana lol. Umejificha wapi jamani, tumeku-hamu mnoooo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Serikali ya awamu ya tano no bando za muchezo muchezo[emoji85]
Hizo itabidi zisubiri ksanza maana chaaah!! Nakuchitisha kidogo tuuuu.Looooh!!! Utasubiri sana maana na hii diet siyo muchezo usije nitega bureeeeee!! Au tupike brown chapati hahahha......
Love you too sweetheart.Happy valentine dears,lov u mingi mingi[emoji8]
Love you bunches sis. Happy V to you tooHappy valentine dears,lov u mingi mingi[emoji8]
Shikamoo serikali ya awamu hiiSerikali ya awamu ya tano no bando za muchezo muchezo[emoji85]
Marahabaaaa!!Shikamoo serikali ya awamu hii
Mi chapati ntajitahidi aisee ,,kila nikipika lazima zitoke ngumu sasa sijui kama Evelyn Salt nae ashajua kupika chapati za kusukumaNi sahihi swali lako. labda ambaye amewahi kupika chapati kwa kutumia maji baridi aje atueleze pia itatusaidia.
Cc: espy miss chagga Dinazarde Mkunde Original Nifah sister everlenk MziziMkavu Nyani Ngabu
Msome everlenk hapo katoa siri ya ulaini wa chapati.Mi chapati ntajitahidi aisee ,,kila nikipika lazima zitoke ngumu sasa sijui kama Evelyn Salt nae ashajua kupika chapati za kusukuma
Sorry sikupata notification