Mapishi ya Chapati: Jikoni kwa Evelyn Salt & Mentor

Kwa kibali cha mke wangu, unakaribishwa sana BlessedHope
Mentor kumbe mkeo Evelyn Salt!!

hongereni sana

za siku tele.

Asante kwa mapishi ya chapati, zilinishindaga ha ha ha ndio wasema sio mke....mke ni upishi wa chapati ati!!

Nitajaribu weekend moja kufuatishia somo lako.
 
Ni sahihi swali lako. labda ambaye amewahi kupika chapati kwa kutumia maji baridi aje atueleze pia itatusaidia.

Cc: espy miss chagga Dinazarde Mkunde Original Nifah sister everlenk MziziMkavu Nyani Ngabu
Binafsi nilichojifunza what matters ni ukandaji,ukitaka chapati iwe laini na kuchambuka vizuri sana lazima utumie muda mrefu kwenye kukanda,haijalishi umetumia maji moto au baridi,umetumia mafuta ya moto au baridi,zingine mbwembe tu uongeze butter au blueband ni kuirembesha zaidi lakini msingi mkuu ni ukandaji.Pia wengine wanasema ukitaka ichambuke zaidi weka donge lako kny freezer ifunike vizuri na karatasi uje uitumie kesho.....hii sijajaribu ila maji baridi kabisa niliwahi kujaribu ndo nikatoka na iyo conclusion ukandaji wa muda mrefu ndo mambo yote.

BTW hongera sana Mentor kwa kweli uko juu,mi shughuli ya chapati siipendi mostly napenda za maji siku nikipika za kusukuma siku hiyo nimefurahi kweli.
 
Bado nasubiri ufurahi upike chapati nije kula.
 
Back
Top Bottom