Mapishi ya cookies mje muone Skype live

Mapishi ya cookies mje muone Skype live

Aisee kwa masuala ya mapishi na vilivyomo ninajua sana. Huyo kuku kama hufanyi kazi ngumu au mazoezi walau ya kuondoa hizo excess proteins na calories lazima upate ashiki tu.

Ila fanya roho inapenda...piga punyeto ubaki salama. Ila nawashangaa wanaume wa Moshi.

Ni andiko lako hili mkurugenzi wangu?
Uko salama lakini kaka?
 
Sina lengo la kuharibu uzi lakini nataka kuendeleza mhadala kwenye hili eneo aliloibua rafiki yetu Miss Natafuta ,

Tunapoongelea ubaya wa punyeto au madhara yake kama yapo. Tunajumuisha kufanyiwa na mwenza, kutumia kinywa (kwa pande zote) vitendo na mambo yote yanayoendelea kama utangulizi wa ile missa yenyewe au kosa ni pale inapokua self service?

Mshana Jr , Mentor na wengine karibuni kwa maoni.
 
Kwani punyeto inahusisha kufanyiwa?
 
Ndio maana nimeleta hapa upenuni rafiki. Mie mlugaluga najua nje ya vile viungo husika ni kitu kingine.

Siku unatengeneza mahanjumati unitag.
Kila siku napika Mkuu.namalizia mchicha hapa
IMG_20180711_172755.jpg
 
dah nahtaji sana kuoa mwanamke anayeweza kukaangiza kiasi hicho yn
 
Back
Top Bottom