Mapishi ya cookies mje muone Skype live

Hongera mkuu uko vizuri, utabidi uwe unafundisha mabibi harusi haya mavitu coz wanaume wengi wamekuwa wenyeji wa mahotel..
Miss Natafuta
 
hatimaye miss umepata jiko!litendee haki mwaya !maisha ndo hahya hayaaa
 
Post za kitapeli hizi...hadi leo hujapata hayo mayai? [emoji848]
 
Au ni mtu usiejulikana ww...ukataka namba za watu uwaadd group mara cjui nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…