Mapishi ya cookies mje muone Skype live

Uliza Mkuu.ninajua mautundu Mengi ya jikoni.napenda sana kula so napenda sana jiko jiko.
Nataka uniandikie recipe ya kutengeneza chapati za kusukuma ziwe laini tena bila kutumia mafuta mengi. Kuna mtu nataka apate maujuzi maana mimi napenda sana chapati, sasa tatizo mpishi anazijaza mafuta.
 
Ahahaaa soma huko juu nilichosema kuhusu chapati Mkuu.kuhusu chapati muone mbitiyaza.
Ila juu juu tu kujaza mafuta kwenye chapati ni kutokujua tu kuivisha so anaijaza mimafuta kila saa. Huyo sio mpishi mzuri ajifunze kwanza
 
Mkuu MBITIYAZA nimeambiwa unajua sana kutengeneza chapati, na mimi huo ndiyo ugonjwa wangu, hebu niandikie recipe ya kusukuma chapati laini zisizokuwa na mafuta mengi ili mpishi wangu ajifunze kutoka kwako.

Please kama hutojali lakini.
 
hhahahaha !mie chapati hukandia maji/maziwa/.nazi baridiii! unga wa ppf huwa mzuri zaidi !huenda anazidisha mafuta kwenye kukaanga chapati !kiuhalisia kijiko ki1 kinaivisha chapati fresh tu!
siri ya chapati lain ni kukandia maj baridi pia ukishamaliza kukanda zisukume alafu uzikunje km unavingirisha karatasi hv!
then uache kwa muda!(mie hua nausahau kidg )pia waweza uweka kwenye friji!

pia waweza tupia nyama za kusagwa wakati unaanza kusukuma chapat zako!hyo nyama iwe ishachemshwa na ushaiwekea spices upendazo kadri chapat inavyoendelea kutanuka unazidi kutupia nyama zako (unanyunyiza) hakikisha nyama ikauke mchuzi!au waqweza tpia karoti km picha hii hapa chini!
 
Unajua nini MBITIYAZA mimi napenda sana chapati tena sana, asante sana kwa hili somo lako, sasa kesho nitarudisha mrejesho maana mpishi wangu nitamwelekeza kama ulivyoniandikia hapa.

Asante sana, ndiyo maana naipenda JF hamna kitu utauliza ukakikosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…