Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia wakumbushe pombe ikiwekwa kwenye moto alcohol inatoka, inakuwa kama umeweka kimiminika tu, lol!Pombe yoyote ni zaidi ya uijuavyo, inaweza kuwa kiungo, inaweza kuwa dawa, inaweza kuwa kilevi na mambo kibao! Jaribu hilo pishi kaka utaniambia!
Anaejua wadau naomba msaada kwa hilo
Mimi huwa naweka kwasababu inaoneza ladha vikikolea kwenye nyama. Ujanja hapa ni kuchemsha kwa maji kidogo, ukiona bado haijachemka vya kutosha na maji yameisha unaongeza kidogo kidogo mpaka uridhike alafu mwisho unaacha yakaukie. Pale unaongeza mafuta kidogo, vitunguu alafu unaendelea kama ulivyoelezea hapo juu.lengo la kutochemsha na tangawizi na swaumu ni kwasababu ile supu haitumiki tena baadae.
aka NOAH
Na ukitaka awe mtamu zaidi.... mpike ukiwa uchi wa mnyama