Mapishi ya maharagwe

Mapishi ya maharagwe

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,119
Reaction score
4,779
Naimani sote humu tushawahi kula hiki chakula/mboga ya maharagwe. Binafsi ni mpenzi sana wa chakula hiki, na huwa nafurahiaga sana kikipikwa vyema kwani kina ladha isiyo kifani.

Kuna sehemu nilialikwa nikakuta maharagwe matamu mno yameandaliwa, hayakuwa ya nazi, ila ladha yake ilifanana kama kuwa na tangawizi hivi.

Yaliandaliwa na chapati, siye tulikuwa tunatoweza katika chapati katika maharagwe hayo. Kuna yeyote anayefahamu kupika vyema hiki chakula aweke ufundi wake hapa.? Nahitaji niduplicate hiki kitu weekend hii.

Cc: farkhina, king'asti n.k
 
Nakumbuka ile siku ya mabomu mbagala nilikuwa home mama alienda kkoo shopping, nikaachiwa jiko niwapikie wadogo zangu,. Nikaanza na maharage.

Nikajaribu mapishi yangu
Nilichemsha maharage kama kawa, badae nikayaunga kwa vitunguu maji, vitunguu saumu kidogo sana na tangawizi. Nikachanganya na karoti nikakata vipande vidogo sana nikachanganya. Yalikuwa matamu sana ila ugali ndo uligoma kuiva, hadi mama akaja kuupika jion alivyorudi

Utoto shida sana
 
Kuna hii CURRIED BEANS PASTA (MCHUZI MAHARAGE PASTA)....

MAHITAJI

1)Maharage robo....

2)pasta upendazo

3)kitunguu maji 1

4)nyanya 2....

5)maziwa glass 1....

7)saumu iliyosagwa 1/2 teaspoon

8)tangawizi 1/2 teaspoon...

9)hoho kipande...

10)karot 1

11)curry powder 1 teaspoon

12)chumvi kiasi...

13)bizar ya pilau

NAMNA YA KUTAARISHA

1)Chemsha maharage hadi kuwiva bakisha maji kiasi....

2)katika sufuria nyengine chemsha pasta hafi huwiva then mwaga maji...weka pembeni

3)kaanga vitunguu vikaribia kuwa brown weka saumu na tangawizi na spicea zpye

4)weka nyanya hoho na karot na nyanya ya kopo kaanga....

5)mimina maziwa wacha ichemke iwe nzito then mimina maharage na maji ya maharagwe kiasi kutokana na wingi wa pasta ili zisiwe dry sana...

6)mimina pasta weka chumvi.....koroga kwa dakika 5 ili sizigande tayar kwa kuliwa
 
Mi nawaomba mnielekeze namna ya kuondoa gas katika maharage. Kipindi hiki cha mfungo napenda sana kula maharage yanawekwa sukari...nazi...hiliki yanakuwa matam sana. Tatizo yananisumbua kwa kujaza gas tumboni. Msaada tafadhali
 
Kuondoa gesi roeka overnight

Wakati unayapika weka saumu na tangawizi utakuja kuniambia hupati gesi hata kdg
 
na nikiweka hizo recipe zote kwenye maharage bila kueka pasta ksi sawa tu?
 
ukiloweka asubuhi mwaga maji na uweke masafi na hayatachukua muda mrefu kuiva kama yakiwa makavu.
 
Mi nawaomba mnielekeze namna ya kuondoa gas katika maharage. Kipindi hiki cha mfungo napenda sana kula maharage yanawekwa sukari...nazi...hiliki yanakuwa matam sana. Tatizo yananisumbua kwa kujaza gas tumboni. Msaada tafadhali

Maharage nayapenda sana ila hayo ya sukari ndi siyawezagi kabisaa
 
Naimani sote humu tushawahi kula hiki chakula/mboga ya maharagwe. Binafsi ni mpenzi sana wa chakula hiki, na huwa nafurahiaga sana kikipikwa vyema kwani kina ladha isiyo kifani.

Kuna sehemu nilialikwa nikakuta maharagwe matamu mno yameandaliwa, hayakuwa ya nazi, ila ladha yake ilifanana kama kuwa na tangawizi hivi.

Yaliandaliwa na chapati, siye tulikuwa tunatoweza katika chapati katika maharagwe hayo. Kuna yeyote anayefahamu kupika vyema hiki chakula aweke ufundi wake hapa.? Nahitaji niduplicate hiki kitu weekend hii.

Cc: farkhina, king'asti n.k

Hayo maharage ni matamu balaaa!
Hapo cha kufanya ni katika uungaji wa maharage yako kaanga vitunguu maji,hoho na karot katika mafuta vikiiva tia na tangawizi iliyosagwa iwe mbichi lakini kaanga kidogo,tia maharage yaloiva usiweke soup yake kwanza yaguezegeuze hadi yaanze kushikana ndipo malizia kwa kuweka ile soup iliobaki yaache yachemke kisha ipua,ni matamu mno!
 
Kuna hii CURRIED BEANS PASTA (MCHUZI MAHARAGE PASTA)....

MAHITAJI

1)Maharage robo....

2)pasta upendazo

3)kitunguu maji 1

4)nyanya 2....

5)maziwa glass 1....

7)saumu iliyosagwa 1/2 teaspoon

8)tangawizi 1/2 teaspoon...

9)hoho kipande...

10)karot 1

11)curry powder 1 teaspoon

12)chumvi kiasi...

13)bizar ya pilau

NAMNA YA KUTAARISHA

1)Chemsha maharage hadi kuwiva bakisha maji kiasi....

2)katika sufuria nyengine chemsha pasta hafi huwiva then mwaga maji...weka pembeni

3)kaanga vitunguu vikaribia kuwa brown weka saumu na tangawizi na spicea zpye

4)weka nyanya hoho na karot na nyanya ya kopo kaanga....

5)mimina maziwa wacha ichemke iwe nzito then mimina maharage na maji ya maharagwe kiasi kutokana na wingi wa pasta ili zisiwe dry sana...

6)mimina pasta weka chumvi.....koroga kwa dakika 5 ili sizigande tayar kwa kuliwa

Too much requirements!!
Most of people can't affrod them or find them.
Jaribu kuwa realistic.
 
Nakumbuka ile siku ya mabomu mbagala nilikuwa home mama alienda kkoo shopping, nikaachiwa jiko niwapikie wadogo zangu,. Nikaanza na maharage.

Nikajaribu mapishi yangu
Nilichemsha maharage kama kawa, badae nikayaunga kwa vitunguu maji, vitunguu saumu kidogo sana na tangawizi. Nikachanganya na karoti nikakata vipande vidogo sana nikachanganya. Yalikuwa matamu sana ila ugali ndo uligoma kuiva, hadi mama akaja kuupika jion alivyorudi

Utoto shida sana

Mabomu hayakuathiri pilika zenu siku hiyo???
 
Back
Top Bottom