Mapishi ya Mchaganyiko wa kuku, brocolli, celery na mbogamboga

Nimekuwa mvivu wa mapishi sijui kwanini? Au pengine kwa kuwa my ameanza kula ndimu?

Huyo anaeanza kula ndimu kama yupo prego u hv to cook for her misosi ya maana.....health pregnant healthy baby
 
Dada farkhina, uzuri wa mapishi yako ni vitu ambavyo ninaweza nikavipata kwa urahisi sokoni..hii nimeipenda!!!! Ubarikiwe..
 
Last edited by a moderator:
Nice meal kiukweli, kwa mtindo huu mtu akila kwa watu ntamfinya mdomo!
Missed u

Sssssssssss....yummy
 
Ni aibu kujamba hadharani, bora wende pembeni. Kasheshe ni ile uko peke yako unaliachia, afu mtu anaingia.

Mie siwezi kuuachia mbele za watu bwana. Nyaenda toilet lol. Ila nina rafiki ananyanyua mguu kabisa, akesha anashusha pumzi na kusema excuse me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…